letra de maziwa - ethan muziki
Loading...
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
mlango w-ngu uko wazi
sina siri zakuficha
nimegundua wasiwasi
ndiyo ya nisimamisha
kupepea, ninajisimamisha
kupepea, nitajirekebisha
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna majambazi
wanajaribu kunitisha
wamekita kambi
wakichungulia kwa dirisha
ngojea, natafuta pesa niwahonge
pesa onge
ngojea, mlango wazi msigonge
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
safari, i’m still far away
still far away
i’m still far away
safari, i’m still far away
still far away
i’m still far
natarajia kuna maziwa
mwisho wa safari
letras aleatórias
- last in line › letra de story of my life - last in line
- auschwitz bucks › letra de santa claus is coming in your brown - auschwitz bucks
- mia aguilera › letra de is it insane - mia aguilera
- beggars opera uk › letra de i've no idea - beggars opera (uk)
- waving the guns › letra de camp david jeans - waving the guns
- daddy longlegs us › letra de rubber tyre - daddy longlegs (us)
- lil force › letra de simplicity - lil force
- weexal › letra de темные глаза (dark eyes) - weexal
- sgribaz › letra de nessuna scelta - sgribaz
- linda jones › letra de for your precious love - linda jones