letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de back it up - elfas

Loading...

elfas on this one,.
african queen badda than most×2
shake it gal..
eddy k ponde beat

chorus
twende juu mama
twende chini tena
tingisha tingisha kiuno mama
unaweza×2

kata chini kata chini
kata juu kata juu
(baby) kata chini kata chini
kata juu kata juu

verser1
baby  mimi napenda unavyo kata
miondoko yako kali siuongo
unavyo songa gal
unavyo wine gal
back it up, turn around
shake it gal till me lose control
back it up, turn around
shake it gal till me lose control

chorus
twende juu mama
twende chini tena
tingisha tingisha kiuno mama
unaweza ×2

kata chini kata chini
kata juu kata juu
(baby) kata chini kata chini
kata juu kata juu

kam nami mummy
dance nami baby
rol it gal
shake it gal
go down low
go down low
shake it gal till me lose control

minapenda unavyo katika
kiuno nyigu inakatika
umenishika mawe yatalipuka
katika nitaitika

chorus
twende juu mama
twende chini tena
tingisha tingisha kiuno mama
unaweza ×2

kata chini kata chini
kata juu kata juu
(baby) kata chini kata chini
kata juu kata juu

kata chini
kata juu
kata chini
kata juu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...