letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nimejaribu - elani

Loading...

[intro]
mmmh
nimejaribu
nilielie nikusahau wewe
eh nimejaribu, kujikusanya
ukaniacha mi na aibu
wengine wanicheke
juu uko na mwingine
eh nimejaribu, kujikusanya
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
[verse 2]
pengine nilikawia sana
kukupeleka likizo ikaleta matatizo
ulitamani sana, maasai mara
au pengine nilichelewa sana
usiku wa manane
nilifika nimetoka mi kuimba
juu niko biashara, silipwi mishahara
na ningependa nikuchukie mami
lakini mi si kama wewe
ata kisasi nikulipize, lakini mimi sio wewee

[chorus]
nimejaribu
nilielie nikusahau wewe
eh nimejaribu, kujikusanya
ukaniacha mi na aibu
wengine wanicheke
juu uko na mwingine
eh nimejaribu, kujikusanya
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe

[verse 2]
pengine nilikupenda sana
ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe
au pengine niombe msamaha
sikutosha mimi kwako
ukatafuta wa kando
bado nikakusamehe
na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe
ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe
[chorus]
nimejaribu
nilielie nikusahau wewe
eh nimejaribu, kujikusanya
ukaniacha mi na aibu
wengine wanicheke
juu uko na mwingine
eh nimejaribu, kujikusanya
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe
nikusahau wewe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...