letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de moss moss - e-sir

Loading...

[pre-hook: e-sir and brenda]
jasho yatiririka
moyo wapiga
kila mtu anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa
yatiririka
moyo wapiga
kila mtu anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

[hook: brenda and e-sir]
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka

[verse 1: e-sir and brenda]
nani mwingine mwamjua kenya nzima kama mimi
mwenye kushika mic na kuwapa kiswahili
sure, rhymes zikitua
rhymes zapasua vifua (fafanua)
na safari hii, ma-emcee, nawaombea dua
nikiwa-hit kwa industry, niki-manoeuvre
kama mvua nanyesha mahewa, nikileta wako wengi
lakini it’s obvious i’m better
it’s hot in here, hot in here
e-sir ameshika mic, karibia
brother, kamata
sister, kata kiuno kwa mdundo
na huu ndio mtindo

[hook: brenda and e-sir]
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka

[verse 2: e-sir]
and thanks to ogopa’s guidance, there’s no defiance
navuta more crowds than rainbow alliance
so wakiuliza, sema ni e-sir
ameshika na kuturoga kabisa

[bridge: brenda and e-sir]
ni mahewa (mahewa)
mahewa tunapewa (uh-huh)
na kukatika na hizi ngoma
basi (basi)
twazicheza na mpango (mm-hmm)
twazicheza mpaka jasho

[pre-hook: e-sir and brenda]
jasho yatiririka
moyo wapiga
kila mtu anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa
yatiririka
moyo wapiga
kila mtu anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

[hook: brenda and e-sir]
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka
moss moss
moss moss
pole pole
moss moss
twazienda
moss moss
haraka haraka haina baraka

[outro: e-sir]
haraka haraka haina baraka

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...