letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bad manaz - dipa konnection

Loading...

napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana

na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana

chakula tam ni kama ni bad manaz
wanjiku dance kikamba tukibanana
no table manners chunga usikose balance
don′t tell your mama rhumba usione haya
yani laddy daddy
mami mumunya mfupa
yani lovey dovey
pupa tafuna kucha
yani laddy daddy
mami mumunya mfupa
yani lovey dovey
pupa tafuna kucha

nitajipanga tena nitakukata
nitakupaka tena nitakulamba
ladha nitakutamba na kamba
nikunyanganye
nitakupamba macho zikudanganye
nitakulaza uchi nikutizame
uti tena nizame
ndimi nitakujaza
akili nyama na roho
nitakuroga
nitakuchanja kisiri nitakuchonga

napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana

chakula tam ni kama ni bad manaz
wanjiku dance kikamba tukibanana
no table manners chunga usikose balance
don’t tell your mama rhumba usione haya
yani laddy daddy
mami mumunya mfupa
yani lovey dovey
pupa tafuna kucha
yani laddy daddy
mami mumunya mfupa
yani lovey dovey
pupa tafuna kucha

me ntakutesa ah
me ntakudaka mahali
nitakurusha ah
me ntakuweka pressure
me ntak-menya menya
me ntakuweza
nakutafuna kucha
nakupuliza
nakukwaruza mfupa
nakupanguza
nakutafuna kucha
nakupuliza
nakukwaruza mfupa
nakupanguza
yani laddy daddy
mami mumunya mfupa

napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
napatikana ni kama natakikana
na party sana kwa party na wasichana
chakula tam ni kama ni bad manaz

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...