letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bad choice - dicazzi

Loading...

kua nami bad choice
tufe tuzikwe wote bad choice
kabidhi moyo wako kw-ngu bad choice
eti ntabadilika ndo unachohisi

unahitaji muda unahitaji upendo
unahitaji ushuhuda lugha kwa vitendo
unavonizuga kama skukosei kuku handle
nakupenda sana nilichokosa ni malengo

tunaishi ka mke na mume na hakuna ndoa
majirani wanakuchukulia ka dada poa
kila mwezi kesi ya ku cheat ndo napoboa
wazazi wako wanahisi mi ndo nuh na safina nije kukukoa
haulalii unachowaza ni kua na mimi na mimi nawaza mbali
haujali what you believe we ni star na kwenye movie starring hauwawi

kua nami bad choice
tufe tuzikwe wote bad choice
kabidhi moyo wako kw-ngu bad choice
eti ntabadilika ndo unachohisi

ila zimwi likujualo alikuli likakwisha
na mashoga zako nshakugombanisha
ushanifumania nikadai ntajirekebisha
ukalia machozi ukasamee yakapita

imani yako sio ya dunia hii
daily nikirud mitungi mitusi nko bwii
nlishaapaga kamwe hivi vitu havijirudii
najiuliza ni lini i’ll set your heart free

unahitaji muda unahitaji upendo
unahitaji ushuhuda lugha kwa vitendo
unavonizuga kama skukosei kuku handle
nakupenda sana nilichokosa ni malengo

haulalii haujalii
haulalii haujalii
what do you believe we ni star na kwenye movie starring hauwai

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...