letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de umebadilika - dayoo

Loading...

yep aaah
naitwa mangil
oyeyeh
mbona umebadilika wee
siwezi kukubadilisha mi
nona umebadilika wee
siwezi kukubadilisha mi

ulianza na visavisa wee
ukiniona unakunja ndita wee
maugomvi bila visa yeeh
inaonesha umenichoka mi
basi usingetia nia kama huwezi
umebadili gia na huendi
naona unachati nao tena wengi
nisikufatilie haupendi
nikweli unakasoro zako
binadamu najuaa huja kamilika
ila upo kwenye maisha yangu
ukiondoka yatavrugika baby

naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi

oyeyee eeh
hivyo vimini vipodozi ulivyojua
ipo siku vitakutokea kwenye pua
hao mashoga zako kwani ujawajua
wanafanya utoto kama kama hawajakua
hauna roho ya kibinadamu
unaendeshwa na mainstagramu
umebadili mpaka na nidhamu
kiasi mpaka cha kundiharau
basi usingetia nia kama huwezi
umebadili gia na huendi
unachati nao tena wengi
nisikufatilie haupendi
nikweli unakasoro zako
binadamu najuaa huja kamilika
ila upo kwenye maisha yangu
ukiondoka yatavrugika babyy

naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi
naona umebadilika we
siwezi kukubadilisha mi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...