letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ubani - daroon

Loading...

daroon

ubani ubani ubani
ubani ubani ubani
ubaanii wa ubani ubani ubani ubani

noooooh

nakupenda kwel si utani
kutoka moyoni weeh ndo w-ngu tabibu
sina roho ya shetwani kukuweka motoni
kwanza spendi upate tabuu

walisema mengi eti mimi sifai kuwa naweee
yeeeeh
kisa sina shiringi wakuteke tuu wawe nawe

ila mungu ni mkubwa sana
kabariki penzi mpaka tunapendana
naona hii ni kama karama
hatuachani mpaka kesho milele kiama

aaaah

maidia sweet niamni kamwe sitokusariti
oooh nooh yeeh
uchafu nishadiliti nataka kuona penzi linakua fiti
oooh nooh
ubani ubani w-ngu wa ubani
ubani ubani w-ngu wa ubani
uba uba ubani w-ngu wa ubani
uba uba ubani w-ngu wa ubani

nnoooo noooooh
nooooo ooooooh

ooh kimwali mi nakupenda, ukiniacha mbali minitakondaaa
wahalali mi nishasalenda
kwa penzi tamu tamu kwako nalipendaaa

usiniuk-mu usinilaumu kwa penzi lako ushanipa sumu
njoo unipe tamu penzi lidumu
maana wewe kw-ngu ni adhwimu

my dear sweet niamini kamwe sitokusariti
oooh nooh yeeh
uchafu nisha delete
nataka kuona penzi linakua fiti
oooh nooh

ubani ubani w-ngu wa ubani
ubani ubani w-ngu wa ubani
uba uba ubani w-ngu wa ubani
uba uba ubani w-ngu wa ubani
w-ngu wa ubani
ubani ubani ubani ubaaniii

daroon
totoz nation

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...