letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tunakemea - dambwe la hip hop

Loading...

intro..

yeah yeah kwa hisani ya dambwe la hip hop
tunakemea,matumizi ya saw za kulevya sio inshue follow your dream

vers1
tujifunze kwa makosa yalopita
wenetu walovuta wengiwao tumezika
tumefichwa kwenye giza na madawa
nakurudi nyuma ingawa tunahisi tupo sawa

tunapagawa tunatengwa na jamii
hali mbaya ndoto zinakustahili hii
hakunabidii yakazi taiga linapotea
kama mzazi matumizi ya unga nakemea

aah kizazi chaleo kinapotea
wauzaji hawatajwi na kutupwa segerea
sio fair,kuongeza taasisi
ina maana ungaunalipa ndo maana ya taasisi

hii bado hainiingi akilini
tunaulinzi wakutosha airport na mipakani
aaah yah msitufanye wajinga
ungaunapita bwana mbona street wanatinga

mastaa mapunga na maemcee feki
ndo ubebaunga na kuuamashabiki
tunakemea hii snea ya mdundo huu
ama kikomo cha makemiko mkemia mkuu

chorus

tunakemea madawa yakulevya ni sumu
madawa yakulevya ni sumu
madawa yakulevya ni sumu
madawa yakulevya ni sumu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...