letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kwa ceiling - chris kaiga

Loading...

[verse 1]
napitia na dinga ina speaker zinatingisha madirisha
kuliko pretty girl anadigi akitingisha
mwili ka ameshikwa na mathithi akiniambia
nammalizanga kama dishi ya familia
huwezi wai raia mwingine ka mi
mi ni ka ninja nawapiga na ma hit
toka l.a hadi mtaa za ma-beast
imekuwa ni ngori aje nimeitiwa chief

[pre-chorus]
hakuna bash ishai nibamba kaa hii
ilianza jana na ikiisha saa hii
ni ju mambang’a walicome-ingi
na bado bash ingeshika ka miti
kwa hivo jaza tumbler na kidri
ita mama pima acome hivi
na tusker malt, na ma-pilsner ka mbili
[chorus]
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)

[verse 2]
si ni ma-party addict, hadi haijalishangi
ka tumedunga njumu kali ama patipati
niite bash mamii, tuko ndani ndani
bora ina waresh na drinks tuko inadi-nadi
kuna vile umefurahisha majirani (sawa)
unawhine ni ka umeitisha four cousins
umerise-isha temperature covid 19
ukitingiza mawezere ndani ya ma-tight jeans
sibaguangi napenda malight na ma-darkskin
mamii whine your body ni ka hucheza katii
punguza calories, uki-whine on me
toka saa moja giz’ hadi ma-morning

[pre-chorus]
hakuna bash ishai nibamba kaa hii
ilianza jana na ikiisha saa hii
ni ju mambang’a walicome-ingi
na bado bash ingeshika ka miti
kwa hivo jaza tumbler na kidri
ita mama pima acome hivi
na tusker malt, na ma-pilsner ka mbili
[chorus]
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)

[verse 3]
hii inaeza shika kutoka saii hadi congo
adisia kwiti kwiti na kong’o
leo kidri iko mingi brathe toa lock
waiter leta mbili mbili na ma double shot
mi naskia firi firi kama change ya soo
songesha hizo viti viti sunda dancefloor
mamii twende chini chini mwaga jasho
ni ka umekula firifiri na unawashwo
ebu wa-show
vile mwili hukunjwa kunjwa kama python
vile mwili hukunjwa kunjwa kama nylon
mi nadigi digi style na vibe yako (sawa)
leo si-dance kwa floor na-dance kwa ceiling

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...