letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de do re mi - breeder lw

Loading...

[intro: benzema]
wacha nikulambe lambe
wacha nikukembe kembe mmmh
kembe kembe mmmh

[hook: breeder lw]
yoh!
chunga sana na hapa utatekwa mami
si ati nachocha utatekwa utatii
ngoma noma niite bazenga dadii
nafanya vi easy rahisi nanii

easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi
easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi

[verse 1: breeder lw]
a, e, i, o, u
breeder huw-nga badboy tangu class 2
nikiwa form 2 nilitekana kwa loo
princi akanipea pano ati nioshe staffu
jaribu vile utaeza bora usidoz mapema
alafu after mechi usiweke kithong kwa meza
keja ni ya mabati basi kelele sitaki
fimbo jo mzito ata haitoshei kwa khaki

vile ngoma inachuna, wacha isonge ka romour
moshi ndani ya medulla, ka si filler sauna
ka ni ganji mi sina, si nitakuteka tu na lugha
ka ni sura we huna, jo sijali nitakuk-mba

tingiza hiyo tako dogodogo na doido
landi atinge keja leo nitakuingiza mpaka na diro
breeder otero wa kenyamo na mastingo
mi huninyonya sana amenigeuza viks kingo

[hook: breeder lw]
chunga sana na hapa utatekwa mami
si ati nachocha utatekwa utatii
ngoma noma niite bazenga dadii
nafanya vi easy rahisi nanii

easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi
easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi

[verse 2: benzema]
nilianza kudinyana nikiwa class 2(ate what?)
nilianza kutumia madre f2
pigia jetli, pigia jackie chan bana
waambie leo tuna mbogi ya kurombosana

wacha nikulambe lambe
wacha nikukembe kembe mmmh
alejandro morio anzenza
mara ya kwanza nilitoa kutu ndani ya vera

69, missionary na whichever
whatever, however and whenever
mi ni fisi na sihurumii ata kilema
ngwati naicheki ndani ya cinema

najua safe day zako za kalenda
come come, hebu mwaga tena
nilikuwa jigalo time za mandela
alenjandro zaddy fathela

[hook: breeder lw]
chunga sana na hapa utatekwa mami
si ati nachocha utatekwa utatii
ngoma noma niite bazenga dadii
nafanya vi easy rahisi nanii

easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi
easy kama do re mi
do re mi, do re mi, do re mi

[outro: benzema]
wacha nikulambe lambe
wacha nikukembe kembe mmmh
kembe kembe mmmh
kembe kembe mmmh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...