letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de shrap over the rest - boutross

Loading...

[chorus]
fanya vile mtafanya ju ni shrap over the rest
street imejaa jangili piga hiyo left, ayy
goon amejaza wino hadi kwa neck, ayy
food kwa keja trappin’ mi niko fed, ayy
trap lord waambie neighbor aliita feds, ayy
looku ulipiga lini nilitoka kwa bed, ayy (nilitoka kwa bed)
roho chafu siku hizi hukuwaga na scent
mlichachisha mwaka, mwaka mpya mko dead (yea yea)
fanya vile mtafanya ju ni shrap over the rest, ayy
[verse 1]
marapper walisema wana bars nikawapa pen
social distance hadi whatsapp groups mi nilileft
aje niskize fala alitoa intelligence kwa net
10 million in views na bado ngati ako kwa debt, ayy
ndula imetoka ulaya shawty ni mfrench, ayy
belt ni dolce gabbana cheki hiyo flex, ayy
vilе nachange ma-lane kwa kbx
shawty ako nyuma ni deng na anakam na ki-vx
nimеchoka kubonga na vile wasela wanapenda pretence
mali ni safi shida ni mbona inatoaga stench
since you’re hardly bothered unadhani hakunaga haja ya kutense
mpaka mask man aingie kwa keja na ni through ya fence

[chorus]
street imejaa jangili piga hiyo left, ayy
goon amejaza wino hadi kwa neck, ayy
food kwa keja trappin’ mi niko fed, ayy
trap lord waambie neighbor aliita feds, ayy
looku ulipiga lini nilitoka kwa bed, ayy (nilitoka kwa bed)
roho chafu siku hizi hukuwaga na scent
mlichachisha mwaka, mwaka mpya mko dead (yea yea)
fanya vile mtafanya ju ni shrap over the rest (ayy)

[verse 2]
kwani mi ni mode nani alikuambia mi nakuaga na answers?
cheki huyu mthii anabonga akizoza namtumia walach ako handas
mi bouti malaya mi husema ukweli sijai kuwa liar
ukweli mi hudinyanga matha wa kijana fulani anajiitanga uncle–
usicheze na sauce fiend amejaza matope kwa fanta
usicheze na boss buda utapata hiyo salo huj-pata
ulichukua loss sai unawin na si jana ulianza (ooh)
mambang’a wanatafuta shume tangu nitoe ile “story ilianza”
mbogi ahead perfect timing mbleina alilambwa
panya anatry kuzoza na alipata bado amepakwa
anajichocha ati ni tafash na amepaka
si ufanye vile utafanya ju ni shrap over the rest
[chorus]
street imejaa jangili piga hiyo left, ayy
goon amejaza wino hadi kwa neck, ayy
food kwa keja trappin’ mi niko fed, ayy
trap lord waambie neighbor aliita feds, ayy
looku ulipiga lini nilitoka kwa bed, ayy (nilitoka kwa bed)
roho chafu siku hizi hukuwaga na scent
mlichachisha mwaka mwaka mpya mko dead (yea yea)
fanya vile mtafanya ju ni shrap over the rest

ayy, street imejaa jangili piga hiyo left, ayy
goon amejaza wino hadi kwa neck, ayy
food kwa keja trappin’ mi niko fed, ayy
trap lord waambie neighbor aliita heh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...