letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de all in freestyle - blak foreign

Loading...

blak foreign – all in freestyle

{intro: blak foreign}
yea yea, gang
aahg!
(hoodrich go’ne pop on a n-gga for the 8)
look!

{verse: blak foreign}
mistari zangu zote liquor
ngori ni ka nimefiwa
blak anakuaga cha mbele
vile nachanua viewer
flow ni kibao mchele
sikosi keroma ya dinner
punguza kash-sh- msenge
io doba si kali ni beat inagonga
mziki naifanya to fullest
energy yangu ni kombi ya duet
kifua ina gas push up
nyonginyo zangu pull up
jikoni n-z-di to cook up
na hakuna rapper na look up
juu wote si logo ni bogus
inabidi ni holla my shootas
hii ni kipaji nalea kwa msomo na bidii ndio maana imekua
napenda game ikipandisha pressure nibaki solo wakitua
shule walipenya kutumia mwakenya na sikuhizi ni mi nachafua
mi naji gas sibahatishi kwa injili juu bet iko sure
mbona tuagize diet ya beef na daily unakulaga mboga
mbona kwa doba unatajanga wheels
hujui ata bei ya mrenga
mtaa kuna denge a few nimekuwa nikidinya kwa ndoto ya ngono
ndanu na barbie, kamika na mercy na wa gatundu, wanjiko
on go mode
nimekafunga kwa cupboard
mission ya mbele ni star mode
nacheki vision ya rap god
kichwa cha habari mpasho
watani pair compare to octo
nilikuwa nisha tabiri kitambo
ntapenya kwa choche za ng’ambo

doba haina chorus, lakini inagonga
flow haij-ponwa, nimeichonga
sina itoka, lakini bado rende ronga
wanaadisia magadi kwa sosa juu wamechoka

gugugaga, your best rapper, io ndio kitu mi huskia akichana
kama elani ku-ku-ku, naeza geuza rapper stew
on my mama mi s’ta lose, target ya zero natafta saba
difference yangu na hiyo crew, mi nikibonga sikosi ku du
hii ni mboka napiga ata bila cv
journey ni ndefu nasonga vi zii
kipaji ilingurumishwa bila key
success inabishia akili ka hii
bila ata chai itabidi watii
nilianza kitoto na sahii daddy
niko kalesa kesho kwa moti
kwa mirror nacheki ni mimi na mi, ugh!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...