letra de huna baya - billnass
mmmmh…mmm aah
mama mama mama..
shida na dhiki zote za kw-ngu
kama mziki kipaji changu
sidhaminiki na ndugu zangu
kwani rafiki jamaa zangu
napenda pale unapomwaga radhi
ila usijeleta paparazi
na huku mboka wako shy
utaumia mikono kwa kuvunja n-z-
oooh chuchuma (huna baya) inuka
oooh chuchuma (mambo baya) inuka
oooh chuchuma (huna baya) inuka
wataonaje dera?
wamekuja na camera k-mbe kimeo
wamekuja na mamwera kisa chideo
wamekuja na camera k-mbe kimeo
wamekuja na mamwera kisa kileo
oooh chuchuma (huna baya) inuka
oooh chuchuma (mambo baya) inuka
oooh chuchuma (huna baya) inuka
wataonaje dera?
yaani leo mi ndugu zangu wanangu
masikini wananihadaa
kwa jasho klangu kidogo changu
nachokipata sikukificha
acha ulalame na moyo upendo fula (sawa)
mwenzako mi loyal ata ukiniona unapagawa
unashindwa sema beiby ooh ushakula madawa
mwenzako mikono hata ukiniona unachachawa
na nisikiapo baridi we sweta langu
si tutoke twende kijiji kipenzi changu
nivimbe mto rufiji na beiby w-ngu
out twende kibinji kwa bibi yangu
na punguza masihara, yatatawanya
yasijeleta mazani aah
na mi niko imani, niko imani
ukikwama nipе dawa
about huna baya
na sio kosa kunipenda ufanye sherеhe
ila nami nakuomba nifanye hai starehe
kunguli manyanga nifunge nisirejee
so kama anashindwa penda naogopa yasirejee
na vipi nisemega ka mchumba wa kigogo
masha love usimjue
na sio kosa kusema — nachofaa usiinue
na vipi nishindeje mke w-ngu hadharani
na atachoma asinue
na mimi sio kama sipendi
sitamani anayenipenda asimjue
basi na yanga mariro (mariro)
simba mariro (mariro)
basi na manara mariro(mariro)
– mariro (mariro)
wingi una nini wakati unaishi ukweli
unajishoa ya nini wakati unalala sebeleni
wingi una nini wakati unaishi ukweli
unajishoa ya nini wakati unalala sebeleni
basi na yanga mariro (mariro)
simba mariro (mariro)
basi na manara mariro(mariro)
– mariro (mariro)
letras aleatórias
- samantha fish › letra de i put a spell on you - samantha fish
- los manseros santiaguenos › letra de chacarera para mi vuelta - los manseros santiagueños
- colin hay › letra de to there from here - colin hay
- pussies on the dancefloor › letra de never ever - pussies on the dancefloor
- saul lopez › letra de este viejo son - saul lopez
- darmo › letra de lo único que tengo - darmo
- vojtek › letra de slipknot99969 - vojtek
- zygomaticus pyrokinesis › letra de всё равно (doesn't matter) - zygomaticus & pyrokinesis
- josie › letra de watch your back (wyb) - josie
- nick cave warren ellis › letra de l'apparition/we are not alone - nick cave & warren ellis