letra de ogopa sana nairobi - bensoul
[verse 1]
habari mbaya zimenifikia
mandugu zangu wananikulia
k-mbe sahani yangu ni sinia
na inaniuma sana
yule mpenzi niliaminia
nikamuweka mbele ya dunia
i must be trippin’ nikikurudia
umenitesa sana
[chorus]
na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
[verse 2]
marashi yako yalinivutia
siku ya kwanza ulipopitia
k-mbe si mi pekee nilinusia
colander ya lavender
na mbogi yangu iliniambia
eti nikusare but sikusikia
i don’t wanna do this sh-t no more my dear
najuta kupendana
[chorus]
na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
gonga, gonga like (x5)
[verse 3]
wanahabari ninawapongeza
ujumbe w-ngu mmeufikisha
kwa raha zangu nawapakulia
na inanibamba sana
kutoka leo ninakujulisha
jina mpenzi ukinitupia
kwenye orodha we nakupepea
[chorus]
sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana mama
letras aleatórias
- tim timebomb › letra de radio - tim timebomb
- mayday › letra de i care - ¡mayday!
- william henry harris › letra de faire is the heaven - william henry harris
- skibs › letra de stickin’ to my ways - skibs
- mypet › letra de pays to know - mypet
- james brown › letra de try me (strings version) - james brown
- invincible › letra de detroit summer - invincible
- giorgio laneve › letra de amore all'italiana - giorgio laneve
- just juice › letra de for the people - just juice
- trae tha truth › letra de fucked up - trae tha truth