letra de ogopa sana nairobi - bensoul
[verse 1]
habari mbaya zimenifikia
mandugu zangu wananikulia
k-mbe sahani yangu ni sinia
na inaniuma sana
yule mpenzi niliaminia
nikamuweka mbele ya dunia
i must be trippin’ nikikurudia
umenitesa sana
[chorus]
na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
[verse 2]
marashi yako yalinivutia
siku ya kwanza ulipopitia
k-mbe si mi pekee nilinusia
colander ya lavender
na mbogi yangu iliniambia
eti nikusare but sikusikia
i don’t wanna do this sh-t no more my dear
najuta kupendana
[chorus]
na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na-i-ro-bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
gonga, gonga like (x5)
[verse 3]
wanahabari ninawapongeza
ujumbe w-ngu mmeufikisha
kwa raha zangu nawapakulia
na inanibamba sana
kutoka leo ninakujulisha
jina mpenzi ukinitupia
kwenye orodha we nakupepea
[chorus]
sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana mama
letras aleatórias
- letra de jusqu'aux portes de l'enfer - melozeus
- letra de dediğim gibi - anıl emre abdal
- letra de nur für einen tag - sevi rin
- letra de sleazy flow freestyle - lil ki114r
- letra de wings - bonnie mckee
- letra de en cueros - cala vento
- letra de сундук (chest) - qokisst
- letra de na pot - tomaž dornik - slick
- letra de feel the love - riker lynch
- letra de a love of your own - barrio boyzz