
letra de wrong number - barnaba classic
[intro: barnaba]
siijui hii sms, baby
[verse 1: barnaba]
una haki, sikulaumu, na una kila sababu
kuni-command, kuniuliza, “huyu ni nani?”
si ku-command mume w-ngu, ila nalinda pendo langu
uko ndani ya himaya yangu, ndio maana nina hofu na zao langu
uko sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndio u-panic, sio puh tu unavimba
hayo si maneno mume w-ngu, kuyanena mbele yangu
un-z-pelekea hisia zangu, kuhisi naibiwa zao langu
mmm, basi baby, nakupa meseji usome, na ukishasoma usilalamike, usini-set mume w-ngu, wataka kuiponza roho yangu
suluhisho la moyo w-ngu, mpigie upooze mtima w-ngu
[chorus: barnaba & [?] ]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwеzekani, tumpigie, uwekе loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
[instrumental break]
[bridge]
ooh, ooh, ooh
[verse 2]
chozi langu thamani, lanitoka chumbani (hey), na mlilia nani?, kama si wewe
najua ni hasira zikipoa mpendwa utaelewa, hata maji ya moto hupoa mapema yakipepewa
usipoteze lengo mume w-ngu, nataka kuzifumba mboni zangu
mpigie huyo mwenzangu, ili nijue kuwa sipo pekee yangu
haya kachukue chaja yangu, ipo kule kwenye mkoba w-ngu, ukisharudi tena kw-ngu ‘we utafurahi mke w-ngu
[chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi, ooh, ona sasa zimefutika namba, zimefutika sms kwenye inbox, aah!, ona baba, umezifuta makusudi
mbona mi mwanzo niliziona kwa macho yangu
[post-chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, (mh), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
haiwezekani, tumpigie, (sina namba, siunajuwa zimefutika?), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, (mmm) wakati wenye simu ni wengi, achana nayo, mh, sawa bwana
letras aleatórias
- letra de if i give it up, i want it back - david porter
- letra de brooklyn anthem - team shadetek
- letra de skyhunter - i will never be the same
- letra de without a compass - ellis delaney
- letra de la mia follia - clementino
- letra de urine - new sensation?
- letra de money bags - doubleosupreme
- letra de allt cool - aki
- letra de şiran x temel (official audio) prod by. lincoln adrews - iran
- letra de press me - bandgang lonnie bands