letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dear ex - bahati

Loading...

basi nifungue roho
kwa yuke wa before
dear ex

sitaki kurudia zamani
nilikupenda sana
ila haukuniona wa dhamani
haukuniona wa dhamani
sitaki kubonga mob
nikurushie lawama
ila roho yangu unanijua
nilikupenda sana

nilipokosa nisamehe
ulipokosa nikusamehe
na maisha yaendelee eeh
nilipokosea nisamehe
ulipokosa nikusamehe
na maisha yaendelea eeh
rafiki zangu wanaulizia
wanaulizia
ndugu zangu wanaulizia
yule wa zamani
haya mama anaulizia
anaulizia
majirani wanaulizia
yule wa zamani
you nevert took your time to know me
time to know me
you never took your time to understand
you never took your time to know me
time to know me
the loving ia all i had

natamani siku zile
hisia zangu zinanikosea
hata nikuone
ukiwa naye mi nakuombea
natamani siku zile
hisia zangu zinanikosea
hata nikuoneukiwa naye mi nawaombea

hata jaguar anaulizia
anaulizia
messesi anaulizia
yule wa zamani
fleek flavour anaulizia
anaulizia
hata diana anaulizia
yule wa zamani
i wanna let you know know know
wanna let you know know know
never let you go go go
never let you go

chibu dangote anaulizia anaulizia
w-lly paul anaulizia yule wa zamani
kioko anaulizia anaulizia
manager wizz anaulizia yule wa zamani
teddy anaulizia silvester anaulizia
kwenye beat anaulizia dj moh anaulizia
jalang”o anaulizia dj moh anaulizia
na mafans wanaulizia yule wa zamani
vanny boy anaulizia mpasho anaulizia
ni nani atawajibia?
mama mueni anaulizia ha.
(acha kutupima hii nyimbo si ya dear ex hii wimbo ni ya ex…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...