letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i miss you - babron

Loading...

[verse: babron]
nimejifunza kusahau
kweli penzi lako limenikaa kichwani au
nimekuzoea kupitiliza sijui
penzi lako ni la miujiza, ooh baby!
dunia hii, kuna mapenzi
ushanitoa machozi, umeshindwa kuyaenzi
dunia hii baby, kuna mapenzi
ushanitoa machozi, umeshindwa kuyaenzi

[chorus]
kweli mi sikujua
mapenzi yanaumiza wengi hii dunia
leo kweli mi nimejua, baby i miss you
kweli mi sikujua
mapenzi yanaumiza wengi hii dunia
leo mi nimejua, baby i miss you

[verse: babron]
penzi la dhati nikalilinda juu yako
kuishi maisha ya furaha siku zote sikuwahi kukuliza machozi
everyday in my dreams, naamini we ndo yangu furaha
everyday in my dreams, kukupenda sintokata tamaa

[salmin swaggz]
hukutaka mapenzi ya ki-star
sio kwa sura maana uzuri wa mwanamke ni staha
hizi sms huaga zinakupa kichaa
vicheche wamechase ukaja ukanitupa kachaa
nashka picha zako ukitabasamu kwa chini
najiona chizi, wananiona timamu lakini
ni kama jana tu, na mi nna karatasi na pen
na ntak-miss ‘till the day that i see you again, so you know

[chorus]
kweli mi sikujua
mapenzi yanaumiza wengi hii dunia
leo kweli mi nimejua, baby i miss you
kweli mi sikujua
mapenzi yanaumiza wengi hii dunia
leo mi nimejua, baby i miss you
[repeat chorus]

i miss you, i miss you
i want you, i want you

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...