letra de ananijali - andy mburu
nimeomba
(i have prayed)
tena sio mara moja,
(and not just once)
kwa roho na kwa kweli,
(in spirit and in truth)
bali sij-pata,
(yet i have not received)
majibu yangu kuyaona,
(my answers to see)
adui, shetani mwongo,
(the enemy, satan the liar)
asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
(says that almighty god does not care for me)
bali, siwezi sitomkubali,
(yet, i cannot, i will not agree)
niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
(i am certain that truly i know).
ananijali (he cares for me)
sitokubali, kuzama kwenye maji,
(i will not agree to sink in the waters)
ananipenda (he loves me)
yeye ni mwema
(he is good)
ni za dunia, (earthly)
zangu hizi shida, (are my troubles)
hanitanizuia kukutumikia, (they won’t keep me from serving you)
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima,
(i will follow that way, of truth and life)
kwani, ulisema yote yamekwisha,
(for you said, it is all finished)
sitababaishwa, (i will not fret)
ninajua yatapita, (i know they will p-ss)
kwani, baada ya usiku giza, (for, after a dark night)
ninayo hakikisho, asubuhi itafika,
(i am certain that morning will arrive)
letras aleatórias
- e l u c i d › letra de dutch wax - e l u c i d
- since99 › letra de ssx - since99
- letting up despite great faults › letra de gorgeous - letting up despite great faults
- marcus koncar › letra de pretty things seldom do - marcus koncar
- azra hr › letra de teško vrijeme - azra (hr)
- family folks › letra de shooting star - family folks
- the anchoress › letra de the art of losing (acoustic lounge version) - the anchoress
- stevie stone › letra de bsp - stevie stone
- phenomy › letra de temptation - phenomy
- niko blonde › letra de aldrig - niko blonde