letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dada huyu - ally choky

Loading...

[chorus]
dada huyu
dada vipi?
dada huyu
dada vipi?
ameolewa mara tatu, akaachika mara tatu
ona sasa hana moja, mbili wala tatu
na kila anaye mfuata ‘anakataa kata kata
dada huyu
dada vipi?
dada huyu
dada vipi?

[verse 1: muhidin ngurumo]
harusi ya kwanza iliyofanyika arusha, eh
watu walijaa kwa shangwe na vigelegele
cha kushangaza ‘watu wengi wamerudi
waliobaki, wakasikia migogoro, migogoro hiyo ya ghafla ghafla, ya ghafla ghafla jamani, eh
tunasikitishwa kusikia bi. harusi eh anadai talaka bila ya kutegemea

[verse 2: ally choky]
harusi ya pili ilifanyika tanga, eh
mume wa tanga alimpenda sana, oh
nyumba kamjengea
na gari kamnunulia, eh
cha kushangaza hata mwezi mmoja bado
anadai talaka, eh
huyu dada vipi jamani tunashangaa
dada huyu vipi, eh
(instrumentals)

[verse 3: muhidin ngurumo]
harusi ya tatu iliyofanyika dar-es-salaama
wana mji na vijana wote walihudhuria
cha kushangaza wageni mbalimbali wapo
walikuwepo kina haji (?)
walikuwepo na kina asha baraka, eeh
walikuwepo [nduguzo] watu wote
walikuwepo na kina ally choky, yeah
cha kushangaza daladala zote dar-es-salaama
zilisimamishwa kwenda kwenye harusi
tunasikitishwa sana bi. harusi ameachika, eh
tunashangazwa sana jamani, eh

[chorus]
dada huyu
dada vipi?
dada huyu
dada vipi?
ameolewa mara tatu, akaachika mara tatu
ona sasa hana moja, mbili wala tatu
na kila anaye mfuata ‘anakataa kata kata
dada huyu
dada vipi?
dada huyu
dada vipi?
(instrumentals)

eh…ally choky
muhidin mwalimu ngurumo
eh ‘sikia vitu, weh
[f.m. production], nambari one
ah, comrade mika, fanya vitu vyako
umesikia kama [haji mbabe], mwana wa manyema
hivyo hivyo, si mchezo

shaka zulu
wapi ally akida?
thabiti abdul, mtoto wa [? camp]
mohammed mbale
ritha mgambi
baba [pas ?], eh

nyamwela air car
bitembo air car
wazee wa msondo
wazee wa tw-nga pepeta, eh!

[f.c.d.]
diouf, ‘msafiri
shaibu mapajero
tumaini madinda, mzee wa mbagala kuu
weh, sikia hiyo!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...