letra de usiniseme - ali kiba
hey (yei ye yee 2x soniyee)
ye (lolo lololo lilele 3x)
alike (yolo lilele) baby girl
msinisemee ah 4x kwamba anapenda kula
msinishangae 4x kwamba anapenda kula
msinitengee 4x kwamba anapenda kula
(1)
asi hivi juzi juzi kulikuwa na shuguli
utawa birika na simali kulikuwa na pilau na wali
basi nami nikajiunga pale pale kupiga mvunga
watu wakajipanga nikaanza kwa tonge na nyama
jamani
ninamatonge-4 mpaka wakanif-kuza
nikasema sijali nikatoa pesa mf-koni
nikanunua mayai nilijofuata watu wa wakai
msinisemee ah 4x kwamba anapenda kula
msinishangae 4x kwamba anapenda kula
msinitengee 4x kwamba anapenda kula
(2)
ilikuwa juma pili siku ya watu wenye ufahali
kujirusha sehemu mbali mbali
nami nikasema leo sikubali
wacha niendee-4 ila pesa sina natadani kali
nikapita sokoni nikaomba embe sokoni
nikaelekea baharini nikawaona wengi uf-kweni
hakika na embe jiutani nakula ili watamani
mate yalwaijaa mdomoni wakaanza kuniomba
msinisemee ah 4x kwamba anapenda kula
msinishangae 4x kwamba anapenda kula
msinitengee 4x kwamba anapenda kula
letras aleatórias
- tim finn › letra de the saw and the tree - tim finn
- silas ridgway › letra de ftd - silas ridgway
- the saints › letra de private affair - the saints
- otto ohm › letra de pizza e mandolino - otto ohm
- grace vonderkuhn › letra de bad habits - grace vonderkühn
- gadiel › letra de alto rango - gadiel
- kuba7 › letra de kto to jest kruszwil? (lord kruszwil diss) - kuba7
- one true reason › letra de fight back - one true reason
- elbustoss › letra de untitled - elbustoss
- ksu › letra de ostatnia pieśń o wolności - ksu