letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de say yes - adasa

Loading...

[intro]
hewa, hewa, hewa
hewa, hewa, hewa
hewa, hewa, hewa

[verse 1]
napokutazama kwa macho
nataraji useme utakacho
tubadilishane mawazo mmh

napata faraja unenapo
nakosa faraja uwazapo
niko hapa kutimiza utakalo
iyaa baby

nafahamu fikra we ndo chaguo langu
mwenye kujali hisia zangu
nafahamu fikra we ndo ubavu w-ngu

[bridge]
basi nikaribie usiwe mbali (mbali)
nik-mbatie usiwajali (jali)
ninong’onezee sema nami (dadii ii)

nikaribie usiwe mbali (mbali)
nik-mbatie usiwajali (jali)
ninong’onezee sema nami (daddy, dadiii)
[chorus]
say yes, say yes
say yes, say yes

[verse 2]
nimesubiri sana siku kama hii
mwenzangu sema ndio
nipende mimi usibadili mawazo
aaah eeh

nilivyokwisha kwako jinsi namna hii
usiniache na kilio
fanya hima mpenzi, hima

nakusubiri yaani
niko na hamu gani
nataka useme nami
uliyoficha yaani

yaweke hadharani
yaliyojaa dhamani
nifurahiе jamani
nakupenda mwandani

[bridge]
basi nikaribie usiwe mbali (mbali)
nik-mbatiе usiwajali (jali)
ninong’onezee sema nami (dadii ii)
nikaribie usiwe mbali (mbali)
nik-mbatie usiwajali (jali)
ninong’onezee sema nami (daddy, dadiii)

[chorus]
say yes, say yes
say yes, say yes

sema nami mpenzi

sema nami

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...