letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de r.i.p magufuli baba - abdukiba

Loading...

hey yeah, yea…john pombe

eeh mungu baba wa taifa la leo
tunayekuabudu umetuachia kilio, lio
siwezi sema nikisema sana nitakufuru (mi nitakufuru)
hata maandiko yanasema we ni zaidi ya nuru

na unalolipanga hakuna wa kupangua
yoyote umtakae baba we unamchukua
inaniuma sana nikik-mbuka babu magu
mi nawaza sana nakosa majibu, jibu

mi nikitazama sana fly over za juu kwa juu
usemi wa mama rais magu ana viw-ngo vya juu

leo hatunaye tena, baba baba, babaa
rais magufuli, baba baba baba
mtetezi wa wanyonge baba baba
umetuachia kilio, baba baba
daima tutakuk-mbuka

kaza moyo janet magufuli nakupa pole
mama samia suluhu
kaza moyo funga mkanda, ujikaze nganga nganganga
kupeperusha bendera ya tanzania
hivi ni nani atakayeziba pengo la babu
hivi ni nani ziba pengo sioni
na dua tunakuombea, pumzika salama
na dua tunakuombea, pumzika salama babu
na dua tunakuombea
na dua tunakuombea, pumzika salama magu

mi nikitazama sana fly over za juu kwa juu
usemi wa mama rais magu ana viw-ngo vya juu

leo hatunaye tena, baba baba, babaa
rais magufuli, baba baba baba
mtetezi wa wanyonge baba baba
umetuachia kilio, baba baba
daima tutakuk-mbuka

pumzika kwa amani john joseph magufuli

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...