letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de maria - zzero sufuri

Loading...

kama sos mi ndio boss
mi ndio worldboss
cheki

maria aaa
maria, ukiniwacha utaniumiza girl
maria aaa
si nilikupenda vile mi hupenda
ki sssh sssh
maria aaa
nakupenda nakwambia girl
maria aaa
ukiniwacha utaniumiza girl

kuna vile mi nahisi
umenifanya mi nisinzie eee
ni kama unanichoma
mi nisipokuona roho ooo
hadi nitakuja very quickly
baby mi ukiniita weh
kuna vile nahisi
kw-ngu sio rahisi weeeh

kuna maria anapenda pesa (pesa)
kuna maria anapenda nature
na pia kuna maria ukimpata
ukitaka utaipata
hatakuwacha ukiteseka
kila siku yako shamba utaifyeka
vizuri tena sana ataiweka
w-ngu maria k-mpata si rahisi
si kama wale hupatikana hivi hivi
maria mzuri ni yule unaeza mturn bibi
maria bado anaweza kufanya uchizi
ukimkosa kwa wiki amini usiamini
k-mpata maria yule wako si rahisi
maria nakueleza vile nahisi
maria tabia si ati kingi
chunga marafiki wengine manafiki
tunza wako poa na niko sure
mtakaa fiti

maria aaa
maria, ukiniwacha utaniumiza girl
maria aaa
si nilikupenda vile mi hupenda
ki sssh sssh
maria aaa
nakupenda nakwambia girl
maria aaa
ukiniwacha utaniumiza girl

kuna vile mi nahisi
umenifanya mi nisinzie eee
ni kama unanichoma
mi nisipokuona roho ooo
hadi nitakuja very quickly
baby mi ukiniita weh
kuna vile nahisi
kw-ngu sio rahisi weeeh

cheki
i’m fine with a girl like you
girl niko fine tu na wewe
infact si kutake out tu
niko serious sa will you know that
zzero niko in love with you
eeeh baby scream my name
ju nataka twende far with you
no lies no limits baby

i’m fine with a girl like you
girl niko fine tu na wewe
infact si kutake out tu
niko serious sa will you know that
zzero niko in love with you
maria aaa
maria, ukiniwacha utaniumiza girl
maria aaa
si nilikupenda vile mi hupenda
ki sssh sssh
maria aaa
nakupenda nakwambia girl
maria aaa
ukiniwacha utaniumiza girl

kuna vile mi nahisi
umenifanya mi nisinzie eee
ni kama unanichoma
mi nisipokuona roho ooo
hadi nitakuja very quickly
baby mi ukiniita weh
kuna vile nahisi
kw-ngu sio rahisi weeeh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...