letra de zawadi - zuchu
[verse 1: zuchu]
mon chérie ‘je t’aime beacoup
penzi lako gundi, nimenasa
mon chérie, kama uchawi upo
mganga wako fundi ‘hasa hasa
eh, mwamvuli w-ngu
moyo umeufunika
(wewe ndo)
kiboko yangu
unaejua pakunishika
[pre-chorus: zuchu]
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[chorus: zuchu]
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w-ngu
(ya upendo)
w-ngu, my love
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w-ngu
(ya upendo)
w-ngu, my love
(instrumentals)
[verse 2: dadiposlim]
oh, uooh, oh
ma chérie, chérie
mu ungiye baridi weni komeya
mi uka makini
matso yangu ye hu ono hu fumbariya
zidisha ye zana
bawe huni lisi yilikiki kazana
(kazana)
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[hook: zuchu & dadiposlim]
njoo tucheze kompa (kompa)
oh, baby
(mh, mmh, aah)
we laizer wewe
aah, yah, yah, yah, yah
eeh, warere (wakacha)
wakacha (warere)
mh, mh, mh, mh, mh, aah
[outro: zuchu & dadiposlim]
baby, pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo wa…
ya upendo w-ngu, my love
baby, pokea (pokea)
zawadi, (zawadi)
ya upendo w-ngu
ya upendo w-ngu, my love
oh, my love
letras aleatórias
- letra de mma - raplume
- letra de stitch me up - scarekrow
- letra de ανεξέλεγκτο υλικό (anekselengto yliko) - trouf
- letra de boat - bigbabygucci
- letra de cut me skin deep - rain wan
- letra de how’s it going bro - wolfe (hkg)
- letra de mon frère ours - phil collins
- letra de montagem nostalgica 2.0 - dj woody original
- letra de баллада о синьоре (ballad of the signora) - gamma badart
- letra de destination calabria (nari & milani club mix) - alex gaudino