letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utaniua - zuchu

Loading...

eti lah lah lah lalalala lala lalaah!
lah lah lalalala lala lalaah!
nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithia
oh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia
utani kama utani tulianza kimasiara
sikudhani sikudhani yatafikia mahala
akiwa hapatikani hapaliki sijalala
kanifanya kitu gani mbona imekua mara
dua la kuku menipata mwewe wallah nyinyi ni mtihani
hata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani
ona anacheka kama mazuri
anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
eti k-mwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuriii

oh! baby mimi hapa taabani (wewe utaniuwa niuwa)
nimeoza dah yarabi sihemii ( wewe utaniuwa niuwa)
ah! izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa)
roho yangu mali yako ooh (wewe utaniuwa niuwa)
tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkeka
unijue vizuri nikinuna mie ndo nadeka
husijedhani kiburi uniache nikaja kuchekwa
baby raha ya shughuli mkunwa awe na heka heka
ooh husichokipenda wewe chunga na mimi husinifanyie
mgomba w-ngu mwenyewe eti ndizi nigombanie
nipe penzi nilewe umenizimiaa
ooh ringa kw-ngu upo mwenyewe kiboko yangu miee ooh vimbaa

ona anacheka kama mazuri
si anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
eti k-mwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
na kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuriii

oh! baby mwenzako mimi twabani (wewe utaniuwa niuwa)
chagua mwenyewe unizike unishafirishe ( wewe utaniuwa niuwa)
ah! izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa)
roho yangu mali yako ooh (wewe utaniuwa niuwa)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...