![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de antenna - zuchu
[intro]
ah pablo, ukigusa biti nashtuka
naona kama napanda mizuka
na kichwani shanijaa chupa
ah pablo, ukigusa biti nashtuka
naona kama napanda mizuka
na kichwani shanijaa chupa (mr. lg)
[pre-chorus]
lazima irudiwe sababu nnataka tena
hili goma noma limemkuna kwenye mtima
sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema
kwanza mnipepee, nina jasho mwili mzima
[chorus]
haya sasa, vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
(eya, eya, eya, eya)
[verse 1]
eh, piano iyo ih, piano iyo ah
na biti la lg, bana linanoga
piano iyo ih, piano iyo ah
na biti la lg, bana linanoga
ebu kwanza tucheze munike
mwite yule aje akatike
ashurey, ndo atetemeke
nzowa mkono, upande ushuke
twende vimacho we nipe vimacho
haya vimacho tikisa vimacho
twеnde vimacho we nipe vimacho
haya vimacho tikisa (еya)
[pre-chorus]
lazima irudiwe sababu nnataka tena
hili goma noma limemkuna kwenye mtima
sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema
kwanza mnipepee, nina jasho mwili mzima
[chorus]
haya sasa, vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
vidaleki antenna, zungusha antenna
(eya, eya, eya, eya)
[outro]
ah pablo, ukigusa biti nashtuka
naona kama napanda mizuka
na kichwani shanijaa chupa
ah, (comics lizer)
letras aleatórias
- letra de fast life - j-tone
- letra de way out - 6tusk
- letra de oh akif! - lazy lizzard gang
- letra de #n - patokalipsa
- letra de secret maiko lips - band-maiko
- letra de astrómetra - charliepapa
- letra de loi 101 - wasiu
- letra de anymore - daesung
- letra de old black train - the blasting company
- letra de filemone e bauci - amor fou