letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de omollo son of rosa favoured - zigua giant

Loading...

eyooo! tanzanian kenyan
yo already know who that is man

u was shouting before the song and now uka pooza
is it because u couldn′t defeat the female rapper roza?
hold on that’s a shame i thought unaongoza
no wonder if i hear u singing maria roza

tz rap game umekufunza ukakua
now dissing them nika umepiga hatua
i sure know that mtoi kwa father anakua
but kitu umejichocha nikujifanya unajua

tuko top kwenu na hakuna kitu mta do
we sing kiswahili na tuna trend majuu
ati mnaweza kutuliko that sh-t ain′t true
everywhere we step mnataka come too

tumeshikilia kenya as if uko ni kwetu
naskia mmekaa eti hamtaki mambo zetu
wachana na rap game wakenya muko kwa msitu
amsha watu wako before ukujie wakwetu

last time i saw bahaa alidress ka dem
eti hao ndo watu mna depend kwenye game
trust me najua ita fikia time
mutaomba grandpa tena warudi kua fame!

side ya mziki kweli hamtuwezi
ambia w-lly pozze aache story za upuzi
he don’t hv a shame anabonga ka mwandezi
ati k-muweza simba? this n-ggah crazy!

ok, he better than simba
alomfunza kuimba
competition ya kujamba -n-leta makimba
anajikuta anavimba
wachana na story za jaba atakukutoa marinda

when was the last time mumekaa hapo trending
nikupiga mdomo number kashika mondi
is really painful najua hampendi
hata tuki wapush na bado hamuendi

eric omondi tried his best kuwapeleka international
but the srtist out here still behaving like animal
mda wote wako ndani wamekaa kama criminal
nyimbo imebaki kuskizwa ni anthem ya national

unaamsha watz na wakenya wamelala
wanangorota kwa bed ka mafala
unaleta wahala
na venye mme pooza si ata mge date kajala

bahati kufanya content sai ndo kitu anajua
kenya wameishikilia na diana marua
to be honest me sioni hii game ikikua
cuz every time tunawapiga ngumi za mapua

kitu ina trend kenya sai ni bei ya unga
story za ruto na raila odinga
kusema kweli mziki umeyumba
ka umeshindwa kenya njoo bongo upate mavumba

rapper ana trend kenya saii ni stevo
niko fiti hamna shega nini hizo
yani anamzidi hadi mpak octopizzo
anyways tuachane na hizo

eric omondi talked about kenyan artist
juu aliona venye mondi anawapiga hat trick
hauk-mbuki u being dramatic!
hii ni kitu ime happen about couple weeks

rap game imeinuka now what’s next?
naskia khali anadai collabo na mex
actually it kinda make sense
bringing the cities together to make a mess

zigua giant
born in tz grew up in kenya
am out!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...