letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mkono wa bwana - zabron singers

Loading...

mmmmmmm ah ah ah ah
tumeuona mkono wake bwana
mengi mazuri tumeyaona

mungu umetenda
ni kweli we muweza

ulitamka vitu vikawa
neno tu latosha
ukisema umetenda

bahari shamu isiraeli
ah uliwavusha
ukawatoa utumwani

watumishi wako umewapa
yote waombayo
ikiwa umependezwa

uamulo hakuna wa kulipinga
hakika we ni mungu (wa vyote)

unatawala dunia na vilivyomo
makuu umeyatenda (jehova)
hakika tumeona

tumeuona (ona baba) mkono wako bwana
matendo yako bwana ni makuu mno
(na umetutoa) umetutoa mbali
(mnali kweli) ukatushika mkono
(ooh mungu) mahali uliona pekee hatuwezi

(chini chini chini)
chini hata juu (chini yao watu)
watu unawainua
(ooh mungu) sifa na utukufu ni zako milele

(natutakusifu)
twasifu jina lako (jina lako baba)
milele tutakusifu (ooh kweli)
daima we umwema tutaishi kwako (aaah tumeona)

tumeuona (ona baba)
mkono wako bwana (bwana kweli)
matendo yako bwana ni makuu mno (na umetutoa)

umetutoa mbali (mbali kweli)
ukatushika mkono (ooh mungu)
mahali uliona pekee hatuwezi (chini chini chini chini)

chini hata juu (chini hao watu)
watu unawainua (oooh mungu)
sifa na utukufu ni zako milele (natutakusifu)
twasifu jina lako (jina lako baba)
milele tutakusifu (oooh kweli)
daima we umwema tutaishi kwako

ona ona ona
ona ona ona ona
msalabani ulitufia
hm ulitupenda
dhambi zetu ukabeba
baraka zako tuliziomba kweli tumeona

hakika unabariki
oh hata vipaji we ndo hutoa
umetuwezesha
tunaimba na kusifu

walio haki hutowaacha
uliwaahidi
hata mwisho wa dahari

hm watu wako umewapa mamlaka
kwa jina lako yesu
waponye

na huna ubaguzi
wote ni sawa kwako
umetuita yesu (tupone hakika we ni mwema)

tumeuona (ona baba)
mkono wako bwana (ona kweli)
matendo yako bwana ni makuu mno (na umetutoa)

umetutoa mbali
ukatushika mkono
mahali uliona pekee hatuwezi (chini chini chini chini)

chini hata juu (chini yao watu)
watu unawainua (ooh unawainua)
sifa na utukufu ni zako milele

twasifu jina lako (jina lako baba)
milele tutakusifu (ooh kweli)
daima we umwema tutaishi kwako (aaah tumeona)

tumeuona (ona baba) mkono wako bwana (ooh kweli)
matendo yako bwana ni makuu mno (na umetutoa)
umetutoa mbali (mbali kweli)
ukatushika mkono (oooh mungu)
mahali uliona pekee hatuwezi (chini chini chini chini)

chini hata juu (chini hao watu)
watu unawainua (oooh mungu)
sifa na utukufu ni zako milele (na tutakusifu)

twasifu jina lako (jina lako baba)
milele tutakusifu (oooh kweli)
daima we umwema tutaishi kwako

(ona ona) ona (ona ona) ona
daima we umwema tutaishi kwako (ona)
ona (ona ona) ona (ona ona)
daima we umwema tutaishi kwako
ona ona (ona ona) ona (ona ona)
daima we umwema tutaishi kwako
ona (ona ona) ona (ona ona)
daima we umwema tutaishi kwako

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...