letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de usiniteme - yvan paul

Loading...

mapenzi ananiita
mtoto kaitika
sio jina lengine
manirakiza
shepu ya twiga
nikakamatika
chumbani
oh!
kweli tanganyiaka
ah!
unakubalika
pande zote africa
eeh, yeah

basi nipe love taratibu
na me nitakuenzi
wala sintakuumiza

njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
usiniteme
njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
usiniteme
njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
mapenzi yanaumiza roho
mapenzi yanaumiza moyo
usinimwage, yeah
mapеnzi yanaumiza roho
mapenzi yanaumiza moyo
usinimwage

eeh, yеah
kwa ishara ya mapenzi
baby, leo roho yangu nakupa
mmh
baby kwa roho safi
ntanyoosha mkono wako
ntaucukuwa

basi nipe love taratibu
na me nitakuenzi
wala sintakuumiza

njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
usiniteme
njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
usiniteme
njoo kwetu kamenge
hey babe
mimi jembe
ebu njoo
ebu njoo
nikutambulishe
kwa mama adela
ebu njoo
njoo

welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome kwetu kamenge
welcome
welcome
welcome
welcome
welcome kwetu kamenge

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...