letra de ngosha - young killer msodoki
[intro]
mmh
eh bwana eh
[verse 1]
now i feel great!
nikigusa upanga mmoja, mbuyu chini
tuna celebrate hadi mwisho wa mechi, ni dakika tisini
coz’ im a central business, kwa business, muulize izo bizness
na hatuchanganyi business na life
nawaona kwenye kombe la kahawa mnatia sugar
shetani amwingia yuda, bishoo anajitia nunda
hii ni miracle!
katikati ya mbuga nachanja mbuga (hey!)
kuhusu taji langu la u-king kupewa ni suala la muda tu
wherever happen, make it happen’ hakuna kukaa kizembe
kwa kutumia ulimi usiupime ukali wa wembe
niko nyato umevaa moka ? price? expire
anayejitia mwema sana kwa watu’ huyo ni mmbaya
nahitaji 100 sio 20 kama percent
music we’re gettin married and sk!lls is my parents
nnayo ongea ni talent so you need to be a silent
hii ni big, nilivyo biggie kama christopher wallace
asa nawanywesha dawa kwa nguvu
nimeona ni wagonjwa sugu
tukikosa pilipili kwenye supu tunaeka upupu
ukitaka chuku ni chuku, ukitaka tupu ni tupu
kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu
baada ya blessing, mipango na ‘cation, hoja na sense
waambie mtaa wa pili wafunge geti na washushe neti
my life is colourless, snitch you can’t define me
mi siabudu (?)
bro, uki mess na mimi sikwepeki
kwa k-mvuta huwezi k-msaidia mtu aliekanyanga breki (oh)
(?) ya allah utubariki usiku na mchana
tuongoze kwa kila kitu ambacho tunafanya
kwa maana mbele yako hakuna linaloshindikana (amen!)
yo, i got more rhymes, hazihesabiki hata kwa sensa
usipagawe na bling, mi haitoshi ukiniita gangster
bila mbolea tunastawii hatuhutaji mizoga
ila akiingia mchawi kila abiria chunga mkoba
mapenzi yamekuwa filamu, ma sista doo wana act, usiamini wakitabasamu, utaachwa lonely na haumpati
mashindano yanapotoshwa halafu washindi wanapangwa
ni kama tusemavyo ngosha’s kuwa “hizi propaganda”
zingatia’ nta hauwezi kuitoa kwa ncha ya mshale
itakuwa ni zaidi ya mwaka mpya halafu mambo ya kale
asa dua zitawale, kwa mishe za hapa na pale
ili mvua ikimwaga maji, s’tucheze kama kambale!
yo, siku huisha kabla ya kuanza
na mungu ndio anapanga
fata juu ya njia’ ukienda mwanza usitokee tanga
asa karibu, mwanza
niwafunze ukamanda
mkinikuta tuwe sambamba, muone miamba ilivyotanda kama ukuta
kama unataka kuwa nasi
we kuwa, kuwa tayari
wote’ mikono juu, yaani kaa, kaa tayari
hohehae hae! haina baadae, haa!
sasa twende, twende, twende sasa
(do you remember me?)
hehe
kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu
eh bwana eh
letras aleatórias
- letra de quentin tarantino - fabri fibra
- letra de gettin mines - brooky west
- letra de ostani đubre do kraja - riblja čorba
- letra de dramaqueen - selig
- letra de don't turn on the lights (laidback luke remix) - felix cartal
- letra de lollipop (clubstar remix) - dj aligator project
- letra de show discipline - lloyd banks
- letra de angel eyes by beres hammond - beres hammond
- letra de long live dilla - euroz
- letra de georgia - band of horses