letra de harakati - young killer msodoki
[ intro: ]
eh bwana
( j drama on the beat )
[ verse 1: young k!ller ]
k-mekucha tu furaha, siku imenoga joh
zima taa usituf-kuzie mboga bro
ukiwa zoba, huna dough ‘unakuwa mwoga
yaani unamuita waiter halafu we ndio unaye ngoja
prrr mpaka maka hadi bombay ( bombay )
we leta mashetani tukuombee
chonga ni kuchongee ( chonge )
supu sio dawa, dawa kuacha pombe ( uh )
put mic down ‘mwenda kwa miguu hakai kwenye jam
zamuzamu ‘zao zimepita yetu ime come
sikiliza sound’ ina sound madini fulani on the ground
hasa waiter zungusha kama tulivyo kwenye round
tukiamua kufanya ‘tunafanya juu
(?) ibebea dhana (?) pambana tu
wanaongea kufanana ‘hatufanani, its true
na siku hizi hatuongei sana ‘cool
harakati na wakati ‘naku tupa, naku pack
najua ushajuwa wack hauna kitu ( hauna kitu )
na mtakapo rudi kwenye fact kuongea kuhusu chance ‘hatuchezei labda jua lizame saa tatu za usiku
sio kila anaye kukupigia makofi ukajuwa anakukubali
wengine wanajivua usiri, wanamaanisha ukae mbali
mjomba na (?) kikulacho hakiwezi kuwa-
ukilala mwanzo hadi mwisho hauwezi kuona utamu wa safari
ha’ israеl anakudai kiti
mtandao unakudai kiki
moyo unakudai demu ambaye mbelе mtiti nyuma ntiti
maadui wanakudai sh-t
watoto wanakudai pipi
shabiki naye anakudai wimbo utoke studio naiwe hit
hahahaha
[drop]
hiyo ndio mbaya hiyo
[drop]
[verse 2: maarifa]
naitwa maarifa ‘kibaha finest
anapendwa, anapendwa ‘ah kuna hila
pira magoli anakwenda, anakwenda ‘lunyamila
mwanaenu hapa tuweke kitu ‘ah labda kule
huu ni muziki akileta beef ‘labda tule
ananiita maarifa ‘baba lao chief
niliwaambia kabisa ipo yao siku ‘yao siku
enzi
he-he
nacheka ‘samaki wanaishi majini ila usidhani wanakesha
usingizi nuksi-nuksi ‘mungu ndiye mkuu
usile sumu kisa inauzwa bei nafuu
ukweli ni huu hata mkiwa hamtaki tu
hata ninge umbwa ardhi mimi ‘ningebaki juu
eh ningebaki-, ah
wapinzani wamekosa ukoko na wanapikia jungu kuu
he! maarifa heshima na sio sifa
muziki na sio vita
umezima? nasikia gita
he! nasikia kisha unapima, ujasikia ‘pisha
mbwembwe kibao k-mbe wanao wanakutia kichwa, dah!
amezingua na azinguliwe
mwanaenu vocha ‘haonekani mpaka asuguliwe
[ verse 3: silabi ]
bora nikutie mawazo, maana nyuma utasema na kulawiti
siwezi nikakutilia mkazo maana hauna unacho nizidi
mkiwa mnaendelea kupambana ‘ntawaongezea lipstick
maana siwezi kujipamba mi wa kiume halafu mbishi alafu ni
ukiwa una amini mkono mtupu haulambwi ‘ndio hivyo unavyo amini kuwa mkono wa puchu haulambwi
si wote ni wapenzi wa mungu, bro
x ya shetani (?)
na hana ghetto ndio maana ninyi watia mashakani
niliambiwa ‘mziki (?) kichaa, na una baniwa
riziki kukosa magu, kupata ‘majaliwa
nikaambiwa ‘nikaze buti ili nirithi rap
kuhusu kutembea na vibegi niwaachie wauza juisi za ukwaju
usela na mimi ndio nilivyo mimi na usela
na hela ka za mwinyi, na simjui mwinyi zahera
nimetoka mbali mi sijaja kucheza cheza
maana nina mdomo mpana wakuweza kuimeza meza
nnacho kueleza sio kifupi kama ulivyo
na sio kwa kiingereza wala ngumi au kipigo
brother, sio kubanda ‘mi nachana ka wazimu
usichezee simu ya mganga ( babake ), uta delete mizimu
[ verse 4: motra the future ]
hili daddy striker hili ndilo lile bao ulilolikataa ‘lipo kila mtaa
na lina saka paper kama ulilitupa ukijua ni balaa ‘bado lina ng’aa
tuna sura nzuri ila roho za kihuni ‘tuna roho mbaya ila tunaji tune
tenda mema usije kufa ukawa ni kuni
r.i.p zilla, salasala g-unit
i can’t resist this pain ‘coz iam a “t-pain”
nakupa hii training ya kupanda hii treni, inabidi uwe na big brain
ili usikae kijiweni ‘ngumu ku explain kama huelewi hii slang
mishe, mishe inabidi uwe na vision
uvishe, ulishe watoto waende ma tuition
usiishie hapo uwe macho wapate division ‘ya maisha kinyume na hapo ujue ume “kwishney”
wanasema “kuliko aibu, bora lawama” sisi wengi tulisoma tu ‘kukwepa laana
tena mwalimu wa hesabu alikuwa ana nichanganya akiniambia nitafute thamani ya “x” na tumeachana
mwenzio napata hela kama mistari si kwenzi
rapa huendeshi maisha kama mistari ki benz
napumzika silali kishenzi nasaka mambo hadi makomando waniite “komando kipensi”
…unju, uh
[ verse 5: nikki mbishi ]
rumour has it ‘ umepigwa chini, huna kazi
unataka bifu na mimi huna hadhi ‘jistiri kuna ukimwi binti usikae —- wazi, utasuk-mwa —-
chuna, kuwa mpole kula ganzi, vunga ka mlokole mvunja n-z-
jichome vuta bangi ( yeah )
sugu unapanda cheo kama mbilinyi
mr. kibamia, wanakuita deo mwanambilimbi
mkeo anadai wewe ni kimeo ‘haki hapati
ndio maana kakushtaki kwa dawati ( shtaki kwa dawati )
yeah, warembo nakshi, nakshi
mwendo; haste, haste ‘snitch sio mwana ana sambaza skendo ya bestie yake
peace kwa damu yangu ‘na man vunja nungwi
nawazidi hoja mpaka wanarusha ngumi ‘na zinga uchochoro, hamch0m-ki
na zima mgogoro na msodokii, makoro hamshoboki, sina (?) na dodoki ( what? )
ni ka kulinganisha level ya emolo na ngongoti
hachorire kachora au azaram ‘kuhusu nani bora mnafahamu
unju
[ outro: ]
ha-ha-ha
letras aleatórias
- letra de faded - warrant
- letra de plus fort que ça - el club
- letra de never go home - i voted for kodos
- letra de appalachian hills - benihana kenobi
- letra de i dont know? (interlude) - bob waist
- letra de starts off with a bang - mobius band
- letra de touch me - willie nelson & faron young
- letra de this is living - spencer kane
- letra de summerdecent (feat. baj) - danny b
- letra de adrenaline - bridge to grace