letra de peleka habari - young daresalama
nimechill na furaha najiona bongo bahati mbaya
kiutani utani nawabamba ile mbaya
navochana tu napeta mpaka ulaya
madem sio wachoyo watakupa mpaka mwaya
siogopi fununu au kuongelewa
mlishamsema dadangu na akaolewa
so put your hands up in the air
toka ticha kuna wengi washapotea
ila mi bado niko
wananiita mzee wa kuvunja mwiko
na hii bila matandiko
hii sio mvua ni mafuriko
wala sisi hatujali
kama umesikia peleka habari
wala sisi hatujali
toka boba la uteta hatulali
[billnass]
nishaikata tamaa nikaona labda nizikwe
na sitaki mazoea mastichi nikifa msinizike
hamwezi kuwa mimi labda mi nife
jibril cisse, chafu pozi zenu za kike kike
nahitaji sana priviledge hamko na vision
ni ligi ndogo tukikutana kwenye mission
3 dimension rotation kwenye kila television
vitu ni hd yaani high definition
sio hb navuka nao mamalishe
flash ni hp nyimbo za kutosha nawakalisha
siwezi kupoteza bima mnachana ka mko tuition
na huu mziki ndo ulifanya nikatupa vitu
kabla kukutana na roma mwanangu hufungangi
enzi za ghetto redio ambayo ina cassette
mambo yangu yako saloon anytime anajisu
na sina hata mpango
huwеzi amini mpaka leo billahi na sina jambo
na siwezi acha fanya
naamini ipo siku mziki utanipa bugana
na siku wanadeka tu watoto
na nikichеka ujue ni photo
nishaieka nishateseka n-z-jua changamoto
na nimetoka kwenye msoto
sijachoka mi wamoto
jeshi la mtu moko aka nenga mafioso
wala sisi hatujali
kama umesikia peleka habari
wala sisi hatujali
toka boba la uteta hatulali
unaeza niita rapstar ukijukuu mi sijali
majuk-mu si familia ata ukinunua gari
kukuzi nguo maana unanik-mbusha mbali
wala sisi hatujali
kama umesikia peleka habari
wala sisi hatujali
toka boba la uteta hatulali
letras aleatórias
- letra de bola8 - jeke mamoneos
- letra de the night out - fausteir
- letra de hello there - glenn tilbrook
- letra de faded - zengo zoo & 2woeazy
- letra de little rug bug - nrbq
- letra de high in brighton - fizz (uk)
- letra de hypnotised - kristina hone
- letra de st. louis blues train - quartetto cetra
- letra de mic check freestyle - kennethamenace
- letra de tonight i'll see the morning with him - céline dion