
letra de lonely - yammi
[iintro]
(ah-ah-ah, ah-ah, ah)
[verse 1 : yammi]
iwe kwa gongo ama kwa panga shoka
penzi nimelitupa mbali
hani mwa ongo moyo umepachuka
imenisurubu dhohari
te, te, te, mi najongea
kwenye ulingo wa mapenzi nakimbia
zote kwa zote najiengua
chapter ya mapenzi nimefunga
oh maido, oh maido
ulinipa amani penzi kisado
nikawa na imani mengi madoido
nikijua mi napendwa, nikavimba kichwa
ah-ah, maido
nayaweka kando ma kando-kando
imenichosha mingi misondo
hii safari nimemaliza mwendo
[pre-chorus : yammi]
ah-ah-ah, taratibu
gonjwa langu lishapata tabibu
nime dabwalika sipati taabu
oh-oh, taabu
maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
ka moyo twika kana feel hii vibe
[chorus : yammi]
i don’t know, i don’t know
ila, i’m so lonely
i’m so lonely
i don’t known, ila na enjoy kuwa lonely
i’m so lonely
i don’t know, ila na enjoy kuwa lonely
[verse 2 : nandy]
(ah-ah-ah, ah-ah, ah)
oh, bartender give me one shoti
ninywe kamnyweso hadi nishike magoti
nipo free to be single, so sweet
niko free to be single, so sweety
ah-ah, mashallah
yalishapona majeraha
roho kwatu imejaa furaha
kufa kwaja nakula raha
[pre-chorus : nandy]
ah-ah-ah, taratibu
gonjwa langu lishapata tabibu
nime dabwalika sipati taabu
oh-oh, taabu
maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
ka moyo twika kana feel hii vibe
[chorus : nandy]
i don’t know, i don’t know
ila, i’m so lonely
i’m so lonely
i don’t known, ila na enjoy kuwa lonely
i’m so lonely
i don’t know, ila na enjoy kuwa lonely
[outro : yammi]
ah-ah, mashallah
yalishapona majeraha
roho kwatu imejaa furaha
kufa kwaja naponda raha aaah
i’m so lonely
i don’t know, ila na enjoy kuwa lonely
letras aleatórias
- letra de racks - yng moon
- letra de too hard - jenks
- letra de range - johnyboy
- letra de 朝日のように (asahi no you ni) - issa (jpn)
- letra de re(mark)able - 嵐 (arashi)
- letra de night city - freddy g, swees
- letra de holiday - funeral dress
- letra de burn - beyond awareness
- letra de may the hard road - jules shear
- letra de take me back - she's an artist