letra de medi - xtīg£r
m£di freestyle_xtīg£r
[talks in the background] :
nimekutana na jamaa flani hapo hivi chini ananismilia nashindwa anasmilia nini mi nimebonda ananismilia..(laughs) eyy buda eeyy, mi niko tu ivi (poses a facial expression) eey (laughs) kimepiga smile (laughs) eey
jea jea, xtīg£r, medi
cruzmartin on the beat
[chorus :] x2
ati vile zimeshika sijiwezi
ukidhani nawika ni ulevi (ni ulevi)
cheki makali nameza simbleki (simbleki)
alafu manjegi nikiguza napiganga medi (medii)
[verse :1]
na moshi navuta si fegi (si fegi)
ngori ni ati nawachapianga daily kwa bedi (kwa bedi)
na mbogi ikikam inakujanga na maheadi (na maheadi)
na mambleina hawajamea siwaweki (siwaweki!!)
jea, ni mahyena wa kupewa tu manjegi (njegii)
ati vilе wananisaka… hadi njeffi (hadi njeffi)
wanadai… nawaroll kama pedi (jеa jea)
ju underwater nikidive wanapiga medi
look safi nimepiga niko freshi
niko medi… napiga na w-ngeci
leo…mavella tunalandi kijeshi
na f-ckmaina ndo reffa kwa hii mechi (jea)
jea..ni kivella nasniff na kichain nakipass (shhh..shhh)
vile beat inagonga nimekam na kiverse (na kiverse!!)
nimepiga medii… naskia na reverse (na reverse!!)
mahater wadedi mi ndo kingkwahii class(mi ndo king)
na malater kwa bedi wanashake hizo ass (hizo ass!!)
ju leo izo mashimo lazima zitaburst (pop! pop!)
na kwa hii game mi ndo mwisho na mi ndo first
so kukimbizana na mimi jea, utakiss my ass (jea! jea!)
[chorus :] x2
[verse :2]
h-llo man but n-gga i be reppin’ the b-tches
level yako bro bado iko kwa hingez (kwa hingez)
juzi ndo umemea sai ndo unajua mambichwa(hahaa)
ndo ufike hapa my n-gga za macho utaitishwa (yo!!)
ama ukisleki ntakuwai mangoto za kichwa
ati unaniita fala man-gga ntakufinya haga (hahahaa!)
unaniita malaya na mab-tchez hukutoka (bila haya)x2
unacheza under na kwa masnitchez we ni waya(woo!)
alafu cheki m-th-f-cka huniwezi (nope!)
vile ninashine…. usiku kama mwezi (kama mwezi)
vile niko rada yenu tu kama thegi (kama thegii)
kwa hii game hamnipati chini ya maji nimepiga mbizi
ju kila day kwa mic na mistari niko tizi (tiziii)
na ka ni waroro kw-ngu wanakula ndizi (ndizii)
utachizi…. ka hujui ati bangi si majani (si majani)
ati ju saba gang… zinashikianga (kwa majani) x2
na ka wee ni mbleina tunakushika mashati (jea jea)
na tukiwa kwa bash tuko rada ya makali
na waroro wanaringa kw-ngu hatutaki (hatutaki!!!)
ju saba gang… tunafuata tu masharti (jea jea)
ati saba gang… inama, chora saba (chora saba)
doba inachuna…. tingisha haga (tingisha haga)
saba gang na miti si ni waganga (waganga)
vile tunatibu mangeus wanapagawa (jea kupagawa)
na matiree tunachoma (hatutaki madawa) x2
ukitupata medi tukigawa tu mashamba (mashamba)
na tukiwa mbogi tuko rada ya mabang’a (jea! jea!)
saba gang ni mbogi tumekuja kuwapanga (woo!)
na kuchachisha…watakula…banger!!! (jea..bangeer!!)
jea , xtīg£r… freestyle mediii …. jeea..woo! woo! woo!
cruzmartin on the beat…..
yo!!
letras aleatórias
- letra de ignite - dead legacy
- letra de e tumau pe a - pacific soul
- letra de the city is on fire - dial zero
- letra de hallucination ☿ - mace
- letra de dotted line - kid kapichi
- letra de gold teeth - roof
- letra de on the phone - shesan
- letra de lost in comet gems - jess kessie
- letra de vice grip - cody pope
- letra de теряем контроль (losing control) - киссколд (kisscold)