letra de nyagi na koka - xhatoh
nyagi na koka ft. kefabeatz
verse 1
kama terminator swaga zinadondoka
nikishatokea street kwanza ogopa
usiende gheto nami b-tch utatoroka
acha kupiga chabo son utapofoka
kila weeknd party swezi kosa
huwezi pisi club we ni lofa
pisi tipwa tipwa yeah zinanikosha
mambo ni mengi yana ni……..
verse 2
mambo ni mengi yanichosha nko soba kama wiki hivi cjamoka
inabidi nimwagilie moyo na kuka
na kama unataka vibe mix nyagi na koka
asijejua siri snitch ataropoka
nasubili ulie kadi nikugonge na joka
skuizi so player ma nimeokoka
pisi sizifwati zenyewe ndo zinasho…..
verse 3
pisi sizifwati zenyewe zinashoboka
pisi tipwa tipwa yeah zinanikosha
ndo mana kila party street swezi kosa
nikisha tokea club kwanza ogopa
pisi sizifwati zenyewe zinasho (baw)
skuizi so player ma nimeokoka
unyama bado mwingi chini unaondoka
kama mkemia namix konyagi na koka
autro
xhatoh & kefabeatz we keep ballin
letras aleatórias
- letra de 悲傷的採購 (sad purchase) - my little airport
- letra de what's what - suri lte
- letra de karambol (outro) - tnaw
- letra de benz friends - sam lans!
- letra de amertume - raine (rappeur)
- letra de lost cause - switchfoot
- letra de net geleen - bernice west
- letra de pill head! - iayze
- letra de chakra medi part - absztrakkt
- letra de fuck the opps - rjldiablo