letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de drip drip drip - xhatoh

Loading...

xhatoh – ego !!
(into)
xhatoh(diablo) uyo
drip
am bout ta drip in here!!
(chorus)
kwani nmekosea nn mimi (jamani)
kama kuna kitu nimefanya nyuma
huj-penda niga?? i don’t careё
kuhusu kudrip ndo sikomi
kutoka geto to sokoni
naball nawana b-tchs wakituona street wanauliza
tu location
tunaificha hawaioni
wahuni kibao nyomi
jikute mzuri ulete dharau hapa
nikiwapanga we sikuoni (wewe skuoni)
(ver se)
ni atari ni atari
tamu ka asali
na act kama aakari
we act kama mwali
ukikubali
ntakupa na mali
peleka mbali
uko juu ya dari
when i see umedrip mbele ya macho yangu
nabakigi (ooooooo)
huna ata pesa, wataka kujifananisha
utachekwa (oooooo)
kuhusu kuwaoshea, toka mdogo mi navimba
nisamehe (tuuuuu)
tafuta pesa usije lala nja mwanangu
nakuk-mbusha…(tuuuu)
(chorus)
kwani nmekosea nn mimi (jamani)
kama kuna kitu nimefanya nyuma
huj-penda niga?? i don’t careё
kuhusu kudrip ndo sikomi
kutoka geto to sokoni
naball nawana b-tchs wakituona street wanauliza
tu location
tunaificha hawaioni
wahuni kibao nyomi
jikute mzuri ulete dharau hapa
nikiwapanga we sikuoni wewe!!!!ё
outro….
(wеwe skuoni wewe .skuoni wеwe .skuoni )
credits
beat produced by xhatoh
writ ten by xhatoh
perfomed by xhatoh
mixed ×masterd by kanstar (smar t studio z)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...