letra de chuki - wrapcon036
chorus: wrapcon
aaah unajikuta ghafla,daaah unachukia
tena siku zinasonga mbele,majibu bado sifuri
un-z-disha kuwaza,mawaza huishi nipe wazo
kuzungumza uchafu,hahaha hiyo husipendi
sote tena wote kwa ujumla,furaha,shangwe juu
mara moja siyo hata kosa,nipohuku kweli haina kubashili
bush man siyo george bush,staki narudi tena wazo bush
verse:1.wrapcon
kwanini unanchukia,shetani mimi nakupa chuki
upole wako nani kanipati,huku kifo sifu bado namba ni moja
kwenye note wasaliti wengi,ghetto namba zero hiyo alama
huingi kizembe we ni choko,unalete stori bado hujafikili
tembeza mjani huwa wanasema,vile wrap nafanya wakihanya
na nawatekenya na hizi vocal,lazima tu itakufanya ucheke
nishadindisha miraba tisa tisa juu na chini,nawagawanya kwa tatu
mgogoni nawachora logo kazi,mikidume kazi huwa staki kazi
uzuri kila taasisi toka nimsoto,sota tengeneza chuki zinatesa
machizi tunasaka pesa
nawadharau sina tamu,kichwani mi paramau
niko pembeni na zungusha,mzunguko mizunguko hawatoboi
walidai hawatoboki,wanatubu uwezo msaada
saada alikosa ada akapata jibaba,likalipa adi upele k-mpatia
sijui hata wrap wapi,utakua kila mida bado hauko hoi
heshima kwako nakupatia mic
chorus: wrapcon
aaah unajikuta ghafla,daaah unachukia
tena siku zinasonga mbele,majibu bado sifuri
un-z-disha kuwaza,mawaza huishi nipe wazo
kuzungumza uchafu,hahaha hiyo husipendi
sote tena wote kwa ujumla,furaha,shangwe juu
mara moja siyo hata kosa,nipohuku kweli haina kubashili
bush man siyo george bush,staki narudi tena wazo bush
verse:2.wrapcon
nawabandua ma mceez,wanatoka nduki huu ni mkuki
nungunungu narusha kwa vurungu,na vuruga huoni njia
napitia tazamia hizi stanza ghetto,hip hop ninakwita pitia hapa mbali usiende
hakika tafiti chati sif-gilii,kushika mshika pembe
weweseka weka pembeni,wazungu usinifananisha
kwamazungumzo lazima tu nikupatie kizunguzungu hili rungu
nawauwa kwa vita iraki hadi pakistani vita hakuna
nishataili mashairi vidudu,rudi kapa mceez
hapa rahisi siyo kupata hii,uta tapa sana kusaka
ghetto bamabataa usisahaukusaka,wrapcon ndiko niliko
nawakaba wote koo,kilele zote kulalama
ule ushenzi penzi mitego yote ya ushenzi
sihangaiki kutegua nawatengua kima,mimi huwezi ukinakili stanza
kitanzi mobu shangwe tushatengwa adi mimba inachukiwa
dada zao wao,wanaomba wao fimbo niwapatie
wakatikie tuwapakatie tu,wamelegea hawawezi shikilia
hip hop ya ghetto kweli hii moto,mitindo tofauti yauwasilisha bado nawakilisha
nitawatingisha usinilinganishe,si fanani wala hadhira tabia uwezo vyote hatari pia
chorus: wrapcon
aaah unajikuta ghafla,daaah unachukia
tena siku zinasonga mbele,majibu bado sifuri
un-z-disha kuwaza,mawaza huishi nipe wazo
kuzungumza uchafu,hahaha hiyo husipendi
sote tena wote kwa ujumla,furaha,shangwe juu
mara moja siyo hata kosa,nipohuku kweli haina kubashili
bush man siyo george bush,staki narudi tena wazo bush
letras aleatórias
- letra de closure - zyah belle
- letra de duwap - yung ren
- letra de recuerdos fragmentados - shittyoldshirt
- letra de legacy - yomou4d
- letra de colloque sentimental - henry kimball hadley
- letra de world starts ending - orange bloom
- letra de no paradise - santigold
- letra de winter limbs - wyldest
- letra de system failiure - rhythmic thoughts
- letra de in the head - triplesixdelete