letra de ogopa wasanii - willy paul
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh (yelele, mayele)
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh
jana nakuchukua nakuweka, mmh
mimi nikichukua ni kupenda na kuoa (oa)
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
mwanasimba katenda majanga kwa tanasha
mwone simba katenda majanga kwa tanasha
katafuna, katema
mimi nikichukua ni kupenda na kuoa
tupate watoto wazuri warembo chini ya ndoa
boo, boo, sitakupiga mimba nitoroke, nitakuoa
tena i swear sitakuvunja moyo nitoroke (oa)
mimi nawe mpaka chee, call me gentleman
mimi nawe mpaka chee, call me a gentleman
baby, baby, kuna wasanii wadogo
hawajui hata kupangusa kamasi
wanaslide, kwenyе dm
wanadhani mapua yao
ona watoto wa diana diana, danganya wewe
mtoto wa kilio kilio danganya wewе
hapa hakuna bahati (huh), akwende akalie mbali
basi nikatikie eh, baby kata, kata, kata
mpaka kwa tiktok eh, baby kata, eh, kata, kata
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh (yelele mayele)
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh
jana nakuchukua nakuweka, mmh
mimi nikichukua ni kupenda na kuoa (oa)
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
wengine usiwapee, watakuvunja na moyo (oh)
using’ang’ane watakuvunja na moyo
unasema, sema star
unamtaka juu ye ni star (utalia)
unasema, sema star
unamtaka juu ye ni star
boo, boo, unajua ya tisho
wanadanganya watu
eti wanapeleka java
na wanapenda kitanda
eti muhali wanje wee
kudanganya watu
eti muhali wanje wee
kudanganya watu
nikatikie baby kata, kata, kata
mpaka kwa tiktok eh, baby kata, eh, kata, kata
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh (yelele, mayele)
e-eh, e-eh (oh yeah)
e-eh, e-eh
jana nakuchukua nakuweka, mmh
mimi nikichukua ni kupenda na kuoa (oa)
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
ogopa, ogopa wasanii
letras aleatórias
- letra de plastic therapy - faouzia
- letra de angels tears in a river - kim yoona
- letra de business freestyle - candy flip boy
- letra de unpaid debt - af9uk ft the real taylor
- letra de 24kisses - redd malpelo
- letra de премоляры (premolars) - граф де факто (graf de facto)
- letra de for freedom (baraye azadi) - lavi beats
- letra de ak from botsvana - tume sod
- letra de simulan mo na - pedicab
- letra de deathbyblender - lewisinadream