letra de missi - willy paul
oh msela nimefika mwisho (oo)
nimefika mwisho
oh msela nimefika mwisho (oo)
wah dunia uniokoe
vijalali nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya (aa)
hivi mwenyezi nimek-missi sana (aa)
prodigal son
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
prodigal son
nilipenda mabinti kucheza love song
huku na kule niliwafuata wale wapenzi weeee
nilipokuwa mtoto ulinitunza mimi
kila siku kunitizama mimi
hadi wa leo umenipenda mimi
mwokozi weeeeeh
ningekuwa jambazi ungenipendaaaa
hungalicomplain
ningekuwa jambazi ungenipendaaaa
hungalicomplain
kama msamaha ungekuwa ni bidhaa
kina w-lly tungekosa raha aaa
umenipenda mimi
nilikosea ukanipenda
ukanikosoa ukanieta mwana
sasa mimi sasa mimi nimekuwa wako tena
vijalali nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya (aa)
hivi mwenyezi nimеk-missi sana (aa)
prodigal son
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
prodigal son
ooh kila mara nilitokwa na machozi
ukanipanguza machozi
ukaniongolеa uzuni
sema tena
ooh kila mara nilitokwa na machozi
ukanipanguza machozi
ukaniongolea uzuni
life ya usozi uliondolea mimi
ni kakusahau mimi
hivi bado ukanirejelea
the prodigal son
hivi sasa nishatambua
upendo wako ni ule wa kudumu
sio wa fatuma wala wa monira
vijalali nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya (aa)
hivi mwenyezi nimek-missi sana (aa)
prodigal son
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
prodigal son
vijalali nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya (aa)
hivi mwenyezi nimek-missi sana (aa)
prodigal son
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
kukupenda ndio nataka kufanya
oh my daddy nimek-missi sana (aa)
prodigal son
letras aleatórias
- letra de made it - freekind.
- letra de the earth song - scanner
- letra de kju - elh kmer
- letra de you made me forget my dreams - matt maltese
- letra de cv$h - prpx
- letra de imsodonewithyou (feat. frøstbite) - slvck
- letra de в щепки (to smithereens) - black star mafia
- letra de don't need you - unlymited
- letra de this is you - hard2explain
- letra de a self aware song about love - backyard beetle