letra de meremeta - willy paul
pozee
(saldido)
mapenzi yalianza ana adamu na hawa
miaka zikapita baby tukazaliwa
wazee walinena mapenzi gharama
na kama ni gharama mi nishakupenda aiyaiya
ooh amka k-mekucha my lover
jogoo wa kokoriko amewika
nik-mbate nikate my lover
ooh baby nionjeshe kidogo (dogo dogo)
hii asali nilambishe kidogo (dogo dogo)
umenikamata mutema nashindwa kulala
nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza
hata gizani mama yoo, unamereme unameremeta
chumbani mama yoo, unamereme unameremeta
hata ukidunga akala yoo, unamereme unameremeta
hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremеta
meremeta yoo yoo, unamеreme unameremeta
meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta
baby uko sawa na haupigi posti
miss independent hulinganishwi mamaa
baby uko sawa hata ukiringa ni sawa my lover
uko shwari mama ukiringa ni sawa my lover
penzi lako ni tamu asali, halua halua
kama polisi nitakulinda my darling, for sure for sure
ooh baby nionjeshe kidogo (dogo dogo)
hii asali nilambishe kidogo (dogo dogo)
umenikamata mutema nashindwa kulala
nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza
hata gizani mama yoo, unamereme unameremeta
chumbani mama yoo, unamereme unameremeta
hata ukidunga akala yoo, unamereme unameremeta
hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremeta
meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta
meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta
oooh meremeta, meremeta mama
oooh meremeta, meremeta mama
oooh meremeta, meremeta mama
letras aleatórias
- letra de bumbum check - thiago pantaleão
- letra de out of reason - j o e (rap)
- letra de canvas - josh mhire
- letra de trust issues - julz nartey
- letra de ngày thương tháng nhớ năm đợi - s.t sơn thạch
- letra de grenzenlos (outro) - cael
- letra de falling stars - stick figure
- letra de белым снегом (white snow) - dirtyspark
- letra de ah yüreğim - aydın öztürk
- letra de take your time - wormmm's