letra de naiye - wiista
mmmh, elly da bway on the beat-2
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiyeee mama nitaumia moyo, mimiii aaaa
verse;
roho yako ya bahati,
na upole wa farasi,
jicho lako la samaki,
kamwe hawakupati,
sweety kiuno chako kama dondora,
nalia na nafsi yangu namwomba mola,
mpole na mwenye heshima my love,
nishakupa moyo wote you know,
penzi lako ni la dhati,
na halina masharti,
limenivaa kama shati,
kamwe hawakupati
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wako maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, mmiiii aaaa
verse 2:
gubika gubua, we ndo wa ndoa,
pika pakua lazima nitakuoa,
nakusaka saka saka sikuoni,
eti k-mbe uko hapa, embu wacha utaani,
unavyodeka deka deka deka kifuani,
unanifurahisha rohoni,
gubika gubua we ndo wa ndoa,
pika pakua lazima nitakuoa
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, miii aaaa
bridge:
baby here they and they go,
and you are the only my girl,
you put me on top of the world,
you making me feel like i own it all (you are my lover eeh-2)
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, mimiii aaaa-2
outro:
yoh, its your boy wiista,
i love you girl, i love you,
i had to do it for you, my loove, naiyee
letras aleatórias
- letra de breakup song - acoustic - laura marano
- letra de стартап (startup) - рэд (red.art.mind)
- letra de flexing - jay shuz
- letra de at the bottom of the ocean - yck
- letra de stray kids - maniac (tradução em português) - stray kids
- letra de chá da manhã - juliah
- letra de souls & secrets - yck
- letra de for closure - tiny blue ghost
- letra de legend - joey vantes
- letra de distance - flag duty