letra de sijui nikoje - whozu_
too much money zombie (aaaaah)
mapenzi yakinogaga k-mposti naanzaga mimi nikianza k-mchoka sababu namtafutia mimi
sijui nikoje
ni sijui nikoje nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
nikinywa na pombe nikilewa zinashuka chini
sijui nikoje
mi sijui nikoje
kwanza mi bwana sijali, sijali
yani kupretend maisha siwezi
naipenda tabia yangu
yaani sijaali
mi mwenzenu sijali
eti kupretend maisha siwezi naipenda tabia yangu
huyuyuyaa
aichukucha mpeleme, mpeleme, mpelemende
akikupaa
huyuyuyaa
aichukucha
mpeleme, mpeleme, mpelemende
asije susa
krii krii tata x2
ayii!!!
krii krii tata x2
ayii!!
mengi mi nafikiri
sijui nikoje saa nyengine mi nafikiri
nikoje mi saa nyengine mi nafikiri
sijui nikoje
saa nyengine mi nafikiri
sijui nikoje
mapenzi yakinogaga k-mposti naanzaga mimi nikianza k-mchoka sababu namtafutia mimi
sijui nikoje aaaah mi sijui nikoje
nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
sijui nikoje
nikinywa na pombe nikilewa zinashuka chini
mi sijui nikoje
letras aleatórias
- letra de broke us up - collin roach
- letra de festival (samba mix) - paola & chiara
- letra de vai vendo - anitta & mc ryan sp
- letra de love again (radio edit) - dua lipa
- letra de filosefem - dlwindle
- letra de bouře - sergei barracuda
- letra de one take fm freestyle - nitro
- letra de untitled (freestyle) - jmcee
- letra de burmese days - joachim witt
- letra de 먼지 (dust) - seventeen (세븐틴)