letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mood right - wakuu music

Loading...

ah dakika mbili mi ni freshen up
nibadili swag ndo basi tupige lap
tukashare coke na mafan alafu baadae
bonge la party lina go down

lazima ndunda na hii ligi ni ya kibuda
itabidi so soon aje ani kenrazy
ka si huddah buda mi sijui huddah
nadai wale namba nane hadi saba igo crazy

madem wa fly ni kama nimelipa flight
walai bilai nakata maji hadi nifight
najichocha vile nachase bank kwa mf-ko
unaeza niita bill gates ju ya vile nawin doh

na mercedes size fit
tukiswitch plane tunacelebrate life
hii weekend ni weekend
wale hawatatujoin tupatane twitter
instagram, facebook, mapicha nitawatag

you know we got you getting in the mood
jumping jump getting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand nеw
oooh we got you getting in the mood
jumping jump gеtting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand new

si mi mtight ka bike ka kusayki ndo zao
ka we ni dancer wakuu wako kwao
wako na rangi ya pesa mithili ya thao
so we dunda nayo na uitishe drinks kibao

leo ni friday na kuna wasupa kibao
si twende tukajibambe tuingie tao
aki walai naskia drink inadai
nitakatika na nani alafu drink baadae

kata maji cheza nami alafu kesi baadae
ka familia ni – ka ni pesa nitalipa
ju mi huroll na madiva
na ka si kali si thicker
na ka si sidika si dika
si unaeza uliza

facts kibao wazito ndo naf-ck na wao
na ball hard nafaa niwe na ma wife kibao
iza romours jo– kunywagi kibao
hasa usiku mzima si wacha ninywe vinywaji kibao
you know we got you getting in the mood
jumping jump getting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand new

oooh we got you getting in the mood
jumping jump getting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand new

kutoka nai city nafeel sai fiti
fans wanadai sisi madem wanadai miti
mi huwa sikai fisi manze walai isi
jo watafrai wakuu jones my guys vipi

ingia kwa ndae missy, hey hi pretty
you got a see through dress manze haikai fishy
you had em balling probably like the guy richy
now you wanna hang with a g coz i’m fly haha

no more drama nikichokozanga wasupa
noma sana ni timber hakuna supra
ngoja bana ukibonga sana utakutwa
niko na ngoma kadhaa ziuchoma sana kama za luther

wentworth boss hapa ni water type
na swag yangu ni proper
it’s like you bought a flight
i’m in a flight si chocha
manze ishatoka right
sa nishaomoka nishachoka
manze natoka bye
you know we got you getting in the mood
jumping jump getting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand new

oooh we got you getting in the mood
jumping jump getting love one two
kila mtu weka mikono juu
and we spot ju we hit it brand new

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...