letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dial 999 - wakuu music

Loading...

ati dial 99
mbogi imekuja na madesign tumejipin
weka kwa line nikuburn ngwai ngwai
hapa ukicheza utashikwa dime
mbogi ikasirike kichapo ni say nadai nitaiwai

ka ni vita unataka itabidi ukam na geng
ju ka ni kuacha chini si mi huachaga many men
ka ni kupita mi hupita ni ka nina njia
ju vile huwakimbiza mbioo za nyika ni kama sina friends

wao hubambika na chakula napika
wanashtuka huwezi fika mahali nafika
niite battle hio mwito nitaitika
na ka ni collabo itabidi bei umefika

dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…

mbogi imewapullup hainaga ob
tumejibebesha tuko poaching
vile napachika niko hosi mi ndio doki
vile nakaa ticha mi huwa sibebangi mboi
niku poking vile nakuja na noti
ni kukuwa jing kama silipwi sitoki
hii ni ka dini vile namw-nganga njoti
hebu kaa chini ucheki vile nakuchoki
nakuudhi vile nakula na suti
nakuk!ll k!ll huwezi ch0m-ka na kiki
niko drill deal nataka kuwa p diddy
niku shot k!ll hapa hatuchukuangi p3
niko sweating vile mi huwakula beating
niko tei sai vile nach0m-a —
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…

dial 999999999999…
cheki mrasta na nati kwa kichwa
kibom ni kisafi nishakiwakisha
vintage look safi chini nimepiga dida eeh

wao huniitanga baba ka odinga
teke na vilе navuta boom kwa bypass
na kitu navuta si cpress
bado nawapea, bado mtategеa
mambo nitawapea kwani?
up in the air si ni mamoshi shashamani
dem ako ndethe hana suruali
vituko nafanya ndani ya gari
chekesha unipate niko ndani
99 delivery ya teke tena sai

dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…
dial 999, dial 999999999999…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...