letra de my miss - wakali wao
yo prr kang kang ha! another one fi di ladies
ha ha ha hear dis wakali wao yao yao
ai poko nimechizi ka msee amepiga ngwae
mi nafeel tu onnected kama wifi
ninataka nikutunze kama rungu ya masai
nitembee tu na wewe yani side mpaka side
napenda malips ju ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr you are my miss
napenda malips juu ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr your are my miss
my lady kata waba minajua nakubamba
na later ruka kamba koskwabed ya katatamba
cheki nina gyaldem kasupu kamkamba kanini amekam tu home tu na mi
nakaskiza my lady tu niamini speed ni ya gari kwanza tuseme ferari
sina hata fare nina doh ya makali mazigizaga zogo
tunamwaga tu bahari na uwache tu maringo my lady niko single
nimekam hapa mi nadai tu tumingle
later in the party mi nadai tu tujiggle
sitakua idle nitakua tu kajingjong
so kuna ways nitakupea mamunju
lakini morning area nitakupea marungu
after that then utaniita mbuyu
alafu lady rudi kwenu kikuyu
napenda malips juu ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr your are my miss
napenda malips juu ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr your are my miss
msupa bila make up hajajipodoa napenda hiyo nguo yake ya madoadoa
kwako nimechizi nafeel tu vipoa
leo tu kejani lazima tu utatoa
kama tu mahindi lazima kudondoa
nataka tu nikutunze kama masaa inafeel
nataka nikusuke nikuandikie wimbo
my lady kw-ngu kukupenda ikue kama mtindo
napenda hiyo lips na mahips hiyo umbo
napenda ukikatika tingiza kiuno ukidunda na mdundo
kwela kama ya vera na hudah inavutia
siezi karibia videvu kadisia msupa my miss
nikuvalishe maring kadaili tu pamoja along tukising
tuko tu vacation kwa boat kwenye sea
napenda malips juu ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr your are my miss
ati napenda malips juu ya vile unavyokaa
napenda mahips juu ya vile unavyovaa
alafu ukinikiss juu kadaily nak-miss
gal am your mr your are my miss
napenda ukinitease my miss na bado kuna venye nitakiss
mahater come wrong pia hao nawadiss
piga ata picha na useme cheese
utapata love yetu baby nimedata hautahata
baby kila kitu nitaleta (?)
niipate tu pale keja tu mi ndio creator
shukuru god kwa hao mahater
nataka nikusuke nikitumia vitenzi
letras aleatórias
- letra de no more blue christmas' - crystal kay
- letra de indywiduum - kaza (us)
- letra de será que sou feliz - tony carreira
- letra de war stories - be under arms
- letra de ending it all (as i do) - bonnie "prince" billy
- letra de agnes martin - screaming females
- letra de the one i love - wake moody
- letra de do or die - mez
- letra de reach out for me - roy hamilton
- letra de milk - max giesecke