letra de hizi stance - wakadinali
(domani munga)
hii hii hii hii hii!
hizi stance, keep distance
hizi stance, keep distance (kaa mbali nami)
hizi stance, keep distance
hizi si stance, keep distance
kwani una-order hi zi
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
kugudu-gudum
(domani)
hizo calls nadecline
juu unapenda d-ck riding
andrew kibe, ali kiba, andrew tate
akik-marinate kukusublime
ju naeza kukucarry away ama nikusabahi
yujiro, yes yah zangu ziko clean
ka ukijua utazitaka hizi raw
touch down 400 degrees, kwa heathrow
hizi ni za guthuramo
hizi ni za gugurumo
tulipatana uthumo
nikadai kwani unafanya job nigri
akasema anaishi umo
ha! ha! ha! eeh sherehe
tuthie sherehe, tuthie sherehe
tuthiе sherehe
rakin kaminya, rakan kaminya
rakan kaminya, kaminya rakan kaminya
rakan kaminya, rakan kaminya
hii hii hii hii hii!
hizi stancе, keep distance
hizi stance, keep distance (kaa mbali nami)
hizi stance, keep distance
hizi si stance, keep distance
kwani una-order hi zi
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
kugudu-gudum
(sewersydaa)
utapata chenye unataka
na utajibu mashtaka
utajipata kwa baba
blunder ukicheza na mshahara
nimetoka kazi ya loo na nimepata msha hara
contra ni karagwa, amini kukarangwa
hakuna plan b hapa, it’s just me and my family
hao wengine ni mother-ah
kaa mbali na trapper hii sp-ce inamatter
kubanja na mi unless ni benjamin au kapa
anataka 16 rounds, anaitisha ka glock
watu w-ngu diaspo ni washifty ka clock
sikuandaika “i love you” ilikuanga typo
na balance kwa grao, miguu ni tatu tripod
hii njege inataka bribe
ki benge si cha mine
hii denge inataka pipe
hii nyege jo haidai
za ki muthuu!
za ki muthuu!
za ki muthuu!
za ki muthuu!
hii hii hii hii hii!
hizi stance, keep distance
hizi stance, keep distance (kaa mbali nami)
hizi stance, keep distance
hizi si stance, keep distance
kwani una-order hi zi
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
hii tshirt ni ya white
kugudu-gudum
(scar mkadinali)
for real
mkono moja mbele, ingine iende rembe
pile up, pile up, hio ni ganji ya rende
zungusha kiuno alafu wacha iende
zungusha huyo mbleina alafu wacha aende
vijana hawana rada mtaa
tukakuja nao kwa show
promoter anateta mbaya
ati k-mechrome
kukinyesha ni god anakam
ndo maana vitu hugrow
pesa ndio inafanya
mother nature anatoanga ball
rapper wako ananilike, that’s my son
that p-ssy aint mine, it’s just my turn
they say they want me in dubai, i just might come
i don’t like the limelight, they say i’m like vampire
na mi huwaga kreki, mongo huw-nga empty
mi nasaka hessy, huw-nga hawaniwezi
w-n-lamba crating, why you overtaking
manyu wanacheki, pyamu na ni keki
wakiitisha mechi, go b-tch fetch it
go b-tch fetch it
kaa mbali nami, kaa mbali nami
letras aleatórias
- letra de god bless black africa - rbn
- letra de terapinga - fernando & sorocaba
- letra de sakura - boiz
- letra de money - patoranking
- letra de consommer (avec modération) - k2r riddim
- letra de crystal colorado - alpha rev
- letra de uh-pol-uh-jet-ik - omega male
- letra de right here next to you - jon nørgaard
- letra de new friend - david myles
- letra de after all (i live my life) - lulu