letra de battery low - wakadinali
macho ziko battery low, macho ziko battery low
big beats beats beast afriq
niko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
ziko battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kifa, wakadinali toka binare
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale
lately joh, wanabonga nikiget hi doh aah
macho ni battery low, tei ikikatika naget reload
ninachonga nikichoma majani, holy water ya kutoka dasani
na kwani, skwambi mimi nimekuanga makonyagi na machwadi
aah, baby kuja hapa nkufanyie hypnos
shake haga mbaka utapeleka hi pose
kale ngale vela nare huw-nga hikoss
mtoto geti kali antaka nitoke nai coast
mi nakam na bang nawacha wamefika ju
come na bag na mi niko na kikaboo
huyo mbong’ haezi utadhani pikachu
flow so nice nakuacha na hiccup
zimefika mahali zimenishika design niko
mangwai walai na mimi sitaresign
kama w-ngari maathai mi niko born kutetea miti
nitareform kushinda john kiriamiti
battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
ziko battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa, wakadinali toka binare
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale
battery low, ndio symbol ya kuonyesha siezangi chase ati bank
na chini ya kitanda, siezanga onyesha symbol that
i’m making doh buh making progress
prezo wak-mpreachia injili ati ng’ada nadrwa
hasakwa injini akiganda, hio ndio day tutaita g*nius ni danda, g*nius ni danda
sioni haja nihate, ka uko tukitu tukuza taksin
manze kutusora kitu yenya kampa daddy
atakuset chips fungwa atakupunguza za meal
picha mfiche mshawry wako nani, na hizo vitu fake mpunguze i mean
coz buda ukisaka chuja azn, chunguza leather fity bora si njumu za legzin
aah eei so why twist a coin, ka una njaro ya kudeksare spliff a joint
case chunga la sivyo utajiingiza boy
karma is a b-tch wafaa you get your coin
ka ulidress kutuimpress umeji disappoint
haswa zile location gucci versace hatuzi support
(it’s your boy) ikipiga beat ka utfullbeng, ka ni fimbo then counter tu beng
domani sina vako za wudeng
ndio manaa kwa shingo nadunga few chains
ma-ma-macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
ziko battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa, wakadinali toka binare
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa (nastagger mbaka kufa)
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
ziko battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa, wakadinali toka binare
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
macho ziko battery low 30% na bado niko mabale
battery low 30% na bado niko mabale
nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale
letras aleatórias
- letra de love stranger than this - salter cane
- letra de blitar - nella kharisma
- letra de zephaniah! - doll.ia
- letra de magnum opus - sokol crew, melon music & tambur rec
- letra de lyubov - jluch
- letra de falsos cairão - knust & chris
- letra de dahlia - chanje
- letra de an apology from me to you - stephen castillo
- letra de el carrete - tomo como rey
- letra de guilty - stephen castillo