letra de anguka nayo - wadagliz ke
tushaskia tukiingia ni kublas
hukuanga bad unachukuliwa madam so
anguka nayo itabaki umeflow na vibe
anguka nayo ka uko single for now, eh
mdagi mdagliz mteja hapatikani
ati late night saa sita ndio utaniwai
nikupin location na niko far na nai
si ukate call niko chuom mbaya g
mi najua utakuom it is what it is
acha nikushow kwanza form ya kidon
nishashika mpoa na twende chini kwa chini
akiwa adi na mini sai tunaskiza shin city
tunafeel free take a video na upost pale ngc
jina ni kantel kurap si ni talent g
anguka nayo, eh, ati
anguka nayo, cheki
anguka nayo twende down low nao
stand up to your feet
mikono juu alafu cl!ck
tuliza pace alafu one lege
anguka nayo, one lege, eh
anguka nayo, ati
anguka nayo, ati, eh
anguka nayo
anguka nayo
ati
anguka nayo kama uko na new catch, ati
anguka nayo ka unaparty na magwash, aha
anguka nayo round two kwa hii bash, ati
anguka nayo, ati
anguka nayo, ati
anguka nayo
anguka nayo
anguka nayo, ati
ati, anguka nayo
ati, anguka nayo
nakatika msupa weh banjuka
cheza chini ukikwenda hizo mathutha
anguka nayo baby girl ushaitika
mdagi mdagi matisho za wadagliz
babe, ah, ama darling
sitambui serikali (ati) ju ni serikali (aha)
tamu kama asali si mnajua ni nani
flow mshatii-tii
ndio nimedunga hapo down ni-chi
kutekiwa poa daily mi-ti
aha, skia, beba
anguka nayo (anguka nayo)
anguka nayo (anguka nayo)
anguka nayo (anguka nayo)
anguka nayo, (anguka nayo) ati
anguka nayo
msupa amefeel relaxed, ah
anguka nayo kama uko na new catch, ah
anguka nayo ka unaparty na magwash
anguka nayo round two kwa hii bash, ati
anguka nayo, ati
anguka nayo, ati, eh
anguka nayo
anguka nayo
ati anguka nayo kama uko na new catch, ah
anguka nayo ka unaparty na magwash, ah
anguka nayo round two kwa hii bash, ah
anguka nayo, ati
anguka nayo, twende
anguka nayo, ati, eh
anguka nayo
anguka nayo
letras aleatórias
- letra de 如果 (if) - pakho chau 周柏豪
- letra de oltre il confine - antonello venditti
- letra de um homem que amei - fafá de belém
- letra de rollin' - the game
- letra de about you - ivan b
- letra de uno de esos días - ventilader
- letra de tu sais - igee
- letra de o playboy rodou - hungria hip hop
- letra de pale shelter (extended version) - tears for fears
- letra de devil wears prada - subsad